Hizi kauli zingine zinaudhi kweliHapo toa Arsenal, Tottenham na Liverpool...hao huwa ni wasindikizaji ALWAYS!!!
conte ndipo ninapomchukia mpk natamani afukuzwe leo kesho ..............Mi kutokuwepo kwa Fab tu ndio tatizo
Timu yako inamakombe mangapi ya uefa kwikwikwi kwi kwi hongera sanaaaaa mabingwa wa kushiri twitwitwitwiuefa mnacheza na nani
Saiz yupo jesse lingard kazi yake ni kuwapiga acrobatic goals tu. Sijui mmejiandaaje kisaikolojiamchezaj nliyekuwa namuogopa pale man u kwa ligi za mwishon ni chicharito tu, aisee alikuwa na kismati sna
Saiz yupo jesse lingard kazi yake ni kuwapiga acrobatic goals tu. Sijui mmejiandaaje kisaikolojia
Dah nimeumia sana lvg kumtoa yule dogo hadi leo namuadmayamchezaj nliyekuwa namuogopa pale man u kwa ligi za mwishon ni chicharito tu, aisee alikuwa na kismati sna
Hahaaaaa kaka mechi ni leoLingard haanzi kesho!
hatufungwi kirahis hii ni moja ya sifa tuliyokuwa nayo the bluesSaiz yupo jesse lingard kazi yake ni kuwapiga acrobatic goals tu. Sijui mmejiandaaje kisaikolojia
Ninachoomba tu baadae msikimbie jukwaa ili mje mtupongeze kisport.hatufungwi kirahis hii ni moja ya sifa tuliyokuwa nayo the blues
Herrera acha hizo bhana Leo hamtoki kabisa homySaiz yupo jesse lingard kazi yake ni kuwapiga acrobatic goals tu. Sijui mmejiandaaje kisaikolojia