Chelsea FC (The Blues) | Special Thread



Eto'o finishes with aplomb as Chelsea are left with a mountain to climb to progress to the quarter-finals of the competition - Eto anamwaga radhi.





It's pure jubilation for Inter at the final whistle as Mourinho comes back to haunt his former club - Ushindi mzuri bwana.




Things get worse for the home side as Drogba is shown a straight red card for a stamp on Thiago Motta

Majuto mjukuu. Khe khe kheeeeeeee
 
... Chelski's form have suffered since the moron John Terry could n't keep it in his pants - Chelsea you were absolutley rubbish last night.

...πŸ˜€ ha ha ha, na 'Cashley Cole' usimsahau!
 
Jana alikuwepo natafuta picha yake alikuwa kanyong'onyea kama kuku aliyenyeshewa na mvua.

...Poa! πŸ˜€

asinywee mchezo? magazeti ya jana yalibeba heading hii;

Ashley Cole 'asked Cheryl Cole to postpone split until after World Cup'

...hebu ampe talaka yake bana, mbona anambania huyo mrembo? nani kamwambia England watatwaa World Cup ilhali inajumuisha 'the likes of' John Terry na Cashley Cole?
 
Aaaaaaaaah Chelsea,duh...Kweli mmetokota mbaya majirani...Nyways,subirini tu mwakani,tuombeeni dua tuwe champs wa UCLπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚....Karibuni kutushangilia Ze Ganaz basi
 
Jana alikuwepo natafuta picha yake alikuwa kanyong'onyea kama kuku aliyenyeshewa na mvua.[/quote]

Huyu hapa mzee wa Zipu wazi...

 
...'miti inateleza' tu mwaka huu, duu Gundu hili!

John Terry breathalysed as security guard is injured in car accident after Chelsea's defeat to Inter Milan
 
Chelsea tumeanza kuwa nyanya tangu mwaka uanze. Ushindi wetu unakuwa ni wa kubahatisha mno na kwa timu ambazo si mahiri sana kwenye ligi!

Tangu Drogba na Essien waende Angola, kisha Malouda kutishia kujitoa, timu haiko sawa.

Essien, Cech na Ashley kuumia, inaonyesha hatuna wa kuziba manya yao na Ancelloti wala hana muelekeo.

Ballack anachezeshwa kwa kuwa ni Captaion wa Ujerumani, lakini sidhani kama ni mahiri sana ikiwa tayari kuna Lampard, Malouda na centers wengine. Angewekwa Kalou ambaye ni mkimbiaji akawachezesha kina Anelka na Drogba, labda sawa.

Lakini naye Anelka tangu Drogba arudi kaufyata unless plays za kocha ni mbaya.

Tukirudi nyuma,pengo la Ashley linaonyesha udhaifu wa Terry na wenzake na makosa kibao yanayofanywa nyuma.

Ndio Terry kafumaniwa, lakini kuwekwa mkong'oto na mkewe hakuna maana avuje na kuwana maamuzi mabovu kiasi hicho.

Kutolewa na Inter tulistahili, hakuna la kutoa kisingizi cha Marefa mechi ya kwanza Italy au lolote, bali ni kocha na wachezaji!

Ancelloti anaweza kujiunga na Arsene Wenge na Rapha Banitez kuwa na roho mkononi kutafuta kazi na pua itamvimba kama Avram Grant!
 
Jana alikuwepo natafuta picha yake alikuwa kanyong'onyea kama kuku aliyenyeshewa na mvua.




Hiding away: Ashley Cole watches Chelsea lose
against Inter Milan during the Champions League second leg​
 
Poleni sana asiyekubali kushindwa si mshindani

FL1 nimekukubali kinadada wachache sana ktk michezo hata mijibaba nayo sijui inapendelea nini?

Wazee mnamiss Essien, kiungo kilikuwa ovyo kabisa huyu Lampard wenu siku hizi amekuwa hovyo kabisa hamna kitu hata south anatakiwa atemwe kabisa huyu
 

Mwenyewe sema tulikuambia kwamba hao pensioners hawana lolote kazi kutumia miguvu tu bila akili, naona Abraham o Vich anataka kufanya kweli kuwatimulia mbali khe khe kheeeeeeeeeeeee. swala la kujiuliza atampata Torres kweli?


 


Who wanted to win more ... ... .... The loser was ......
Khe khe kheeeeeeeee​
 
Kulikuwa na system upgrade as usual ngoja waje kina Wacha nasikitika tena hatutamuona Masanilo kwa muda wa wiki nzima

May ndio inakaribia hesabu zote itabidi zifungwe tayari ngumi za uso zinarushwa Stamford Bridge.

Ila kina Invi kiboko waliindoa mapema kabisa ili tusishtuke....nahisi walishamwona yule sheikh wa magomeni kabla ya mechi.

Teh teh teh si unafahamu yahaya alikuwa contacted earlier on wabongo kwa tunguli utawaweza wanaamini ushirikina hivi chacha wameambiwa wakimpa kura JK watashinda world cup. khe khe kheeeeeee
 
FL1 nimekukubali kinadada wachache sana ktk michezo hata mijibaba nayo sijui inapendelea nini?

Wazee mnamiss Essien, kiungo kilikuwa ovyo kabisa huyu Lampard wenu siku hizi amekuwa hovyo kabisa hamna kitu hata south anatakiwa atemwe kabisa huyu

Ukweli upo kwamba pengo la Essien lipo tena wazi ila game iliyopita kiungo kwa ujumla ilipwaya sana si Lampard pekee ndo wakulaumiwa nadhani ni wote pale ktkt Ballack na Mikel hawakucheza kwa nguvu na kujituma kama tulivyowazoea.Naweza sema ni mchezaji kama vile mmoja tu ndo nilimuona yupo uwanjani na hakupata ushirika wa wenzake.So finally we are out and we waiting when next offered!
 
....where are you Masa boy? we miss you here like nonsense.....πŸ˜€πŸ˜€!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…