Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ntuzu nyumba yako mwenyewe hii unakimbia wageni ukumbini? usije kumkimbia na Bibie chumbani majogoo wana njaa ukumbini wengine wana tabia mbaya hawajui Ushemeji wao wanataka kulaagaaaa!!!!! so rudi tu home kwako ni home kwako wasifanye upachukie tehteh.
 
Amehamia MMU siku hizi
 
Chelsea bado wana squad nzuri sana
Kocha pia mzuri
Cha msingi ni kuleta jembe la kumsaidia Diego Costa mkipata huyo missing piece of the puzzle basi mmemaliza kazi
Hawa akina Moses hamna kitu
 
hii sio logic ya mpira kufungwa n kawaida sana
tena kufungwa na liverpool tim kubwa
sio kufungwa na liva ndio kumenifanya niseme hivyo" nilishasema hapa kuwa tufungwe ili kocha kichwa kimkae sawa, na nilitofautiana na baadhi ya watu hapa kuhusu swala la kumweka fab bench. Kwa kocha anaejielewa huwezi ukamweka fab. benchi .............

oscar nahis anamkaza Conte.
 
Chelsea bado wana squad nzuri sana
Kocha pia mzuri
Cha msingi ni kuleta jembe la kumsaidia Diego Costa mkipata huyo missing piece of the puzzle basi mmemaliza kazi
Hawa akina Moses hamna kitu

Substitute ya Costa yupo Mitchshuayi,Conte anapaswa kumpa nafasi Fabregas na waombe beki wao Zouma arudi
 
.. nilishasema hapa kuwa tufungwe ili kocha kichwa kimkae sawa, na nilitofautiana na baadhi ya watu hapa kuhusu swala la kumweka fab bench. Kwa kocha anaejielewa huwezi ukamweka fab. benchi .............
oscar nahisi anamkaza Conte.
Oscar anamfanya nini Conte?
Nimekushauri, andika kamusi.
 
Substitute ya Costa yupo Mitchshuayi,Conte anapaswa kumpa nafasi Fabregas na waombe beki wao Zouma arudi
Kocha anazingua...

Fabregas is still better than Oscar. Actually kama anampenda Oscar sana basi Matic aanzie benchi.

Umefungwa..unasubiri hadi dk 80 kubadili wachezaji.
 
Kocha anazingua...

Fabregas is still better than Oscar. Actually kama anampenda Oscar sana basi Matic aanzie benchi.

Umefungwa..unasubiri hadi dk 80 kubadili wachezaji.
Juve ilimuaribu hajui kufanya timing ya sub...umefungwa alafu unafanya sub Dk 84...nadhani atakuwa kajifunza maana wachambuzi wengi waliliona kama moja ya weakness ya Conte..

Anampenda Oscar kwa vile anaweza kudefence, Kante na Matic wanatosha kushield defence weka Fab mipasi pale 10
 
Nilichokiona Chelsea vs Liver kipindi cha pili ndicho nilichokiona Juve vs Sevilla kipindi cha pili.
Je,makocha waitaliano hawana mbinu za kufungua locked defence?
Ile old italian soccer style ya kulinda goli "catenacchio" leo hii imegeuka na kuwa kisu cha kuwachinjia wao wenyewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom