Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Dah ... Terry & ivanovic wamebadilisha fani ... wamekuwa waigizaji wa comedy?
 
Swansea msiniangushe..
1473612002575.jpg
wapigeni kamoja tena.. ili washike adabu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kocha kazingua.

Nahisi Willian naye ana uchovu wa kuuguza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom