yaani mimi hapa ndipo napotofautiana na huyu kocha tu basiiiii ............... ningependa tuwe tunapigwa ili aache ufala.Atamuelewa Fabrigas tuuuuuu.
Chelsea kwa msimu huu inaonekana itaweza kupigania nafasi ya kucheza Europa League. Ze bluuz itamaliza msimu kwa kushika nafasi ya 5 au 6.yaani mimi hapa ndipo napotofautiana na huyu kocha tu basiiiii ............... ningependa tuwe tunapigwa ili aache ufala.
5 goals mna bahati, subirini mkutane na Watford , Burnley au Hull yatafikia 15.4 games ,5 g oals conceded ..
Kuna tatizo kubwa la mabeki