Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pedro kaumia pua akiwa nyumbani kwake hivyo kama akicheza atavheza akiwa na mask...

b326bd5e4c8367adc478a94a1fbc684e.jpg
 
Diego costa - msuli

Bransilav Ivanovic - groin

John Terry - adhabu

Hawatacheza.
 
Mikel na Matic kama kawa katikati...someone please anipe stats ya mechi ambazo hawa wawili wamecheza pamoja ...,tukashinda viz a viz tulizofungwa au ku draw.

Huwezi kuwapanga hao wawili halafu ukategemea tushinde labda kama tuwe tunacheza na a very weak team.

Kuwapanga wote ni kupunguza nguvu ya kushambulia halafu pia kwa kuwa Mikel hayupo kwenye ubora hata kuzuia nako kunakuwa jipu.
 
Madogo Kasey Palmer (beki) na Tammy Abrahams (striker/attacking mid) wamesafiri na kikosi cha wakubwa kuelekea Liverpool.

1be3b4dd07e95b6c28fe7fda984cb027.jpg
 
Na katika habari nyingine...HAPPY BIRTHDAY THIBAUT COURTOUIS

1ccb0a9e1ba4af133682b21b497d6871.jpg
 
The last Premier League team to win the Europa League were of course Chelsea in 2013, under the Reds’ onetime manager, Rafael Benitez.

That victory made the Blues the only English club ever to have won every UEFA competition – the Champions League/European Cup, the Cup Winners’ Cup, the UEFA Cup/Europa League and the Super Cup. The Londoners joined a stellar line-up of grand slam clubs: Ajax, Bayern Munich and Juventus.

Liverpool are unable to complete the set as they failed to win the Cup Winners’ Cup, which is now defunct; Manchester United will only join the Londoners should they ever win the Europa League, while Arsenal and Manchester City, with won one UEFA title apiece, have a long way to go.
 
Duh hadi Mikel anavheza vizuri leo. Kwa setting hii hata liverfool wakijitahidi labda draw tu.
 
Hazard kawa mcharooo anawafundisha Coutinho na Firmino mpira unavyochezwa.
 
Willian OFF

Kennedy ON

Natamani kuona dogo mmoja akipewa chance hasa Tammy Abraham ili Traore apumzike anamchosha Hazard tu.
 
Duh hadi Mikel anavheza vizuri leo. Kwa setting hii hata liverfool wakijitahidi labda draw tu.
tehteh Kaka upooo siku nyingi sijaingia huku hukakatazwa kukosea mtaa tena ila Leo mlicheza bahati mbaya kipa wenu karuka za kuchukuwa Rebound ya basketball! ila tuache utani hivi Agosti8 yupo? naweza kusema utani yupo mahututi na dripu za Chelsea kumbe kweli? mungu amnusuru kama yupo msalimieni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom