Mkiwa Costa au Lorry haitawasaidia. Kuna mbeba vyuma, Lukaku ana usongo na Yokohama.Mhuuuuu kazi ipo,, absence of Costa,, pigooo
Mkiwa Costa au Lorry haitawasaidia. Kuna mbeba vyuma, Lukaku ana usongo na Yokohama.Mhuuuuu kazi ipo,, absence of Costa,, pigooo
Chelsea leo inaliwa kama mrenda/bamia. Ngome ya Yokohama ni mboga tu kwa Lukaku.Kuwa mpole mkuu povu la nini wakati bado hamjafungwa? Teeeeheee
Mzee kazi mnayo kwa yule kocha ana macho kama KALEWA GONGOLukaku....dah alionekana hafai leo na hii tena anawaadhibu!!!
Tutawafunga wale huwezi amini...Mzee kazi mnayo kwa yule kocha ana macho kama KALEWA GONGO
slaven BILIC
Lukaku was like a man-mountain, unbelievable strength and to have the finish he does, incredible.kile kibabu nux cha everton hakipo kimehamia Norwich" tunashinda .............
khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!Lukaku was like a man-mountain, unbelievable strength and to have the finish he does, incredible.
"Power, strength, pace. It is all of the qualities he has in one.
"You see what it means to Martinez as well, he paid the money, what would Chelsea do to have him now?"
Mkishindwa, niamshe au nitumie sms.
BOOM! Boom, shake shake the room. Romelu Lukaku books the appointment at the tailors, 44-inch chest please, I'll be needing a Wembley suit.We have a very tough game dhidi ya Everton leo baadaye na mko hapa mnabishama ya Barcelona...
Mkuu jitokeze mmeshinda huku teeeeehe teeeeehe mmegeuka timu ya mchangani ...... Gombanieni nafasi ya 10 tuendelee kuwaona kwenye screen za simu zetukile kibabu nux cha everton hakipo kimehamia Norwich" tunashinda .............
Mourinho anaenda kuonesha kuwa yeye ni kocha bora kwa kuifufua Aston Villa. Tetesi Mou anahamia Aston Villa. (a joke)Lukaku....dah alionekana hafai leo na hii tena anawaadhibu!!!
Trophy-less duuuhNtuzu ndugu yangu kwema hapa?You will going trophy-less this season!
Anyway ndiyo soka,mtakaa chini mtajipanga ila Costa inabidi tu aondoke,anawatia sana aibu!
FA watamfungia kwa kujaribu kung'ata na kumshika refa baada ya kadi nyekundu
Hawezi kuja huyu.......
Nahisi anatafuta njia aondoke kama Suarez!Hazitapungua mechi 5 kufungiwa huyu jamaaTrophy-less duuuh
Tatizo Costa wanajifanya Cheka sana yule jamaa