Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Atakuja kesho na utetezi wake hahahaHawezi kuja huyu.......
Atakuja kesho na utetezi wake hahahaHawezi kuja huyu.......
Yule jamaa ana matatizo ya akili. Afungiwe mpaka msimu uishe kabisa. Ndo yule Verrati wa PSG aliwaambia wachezaji wenzio wawe makini na Costa sababu ya tabia kama hiziNahisi anatafuta njia aondoke kama Suarez!Hazitapungua mechi 5 kufungiwa huyu jamaa
Kwanza kamtemea mate refa
Pili aliweka mdomo wake kwenye shingo ya Barry
Tatu baada ya kutotolewa akamshika refa mwili wake
FA wanae huyu
Ngoja aje kusema bado anagombea eplAtakuja kesho na utetezi wake hahaha
Hhahahah mwache ajipe matumainiNgoja aje kusema bado anagombea epl
Mkuu Costa ananafasi yake alimsababishia arbeloa asiitwe z014 sababu ya ile clash Yao alipokua atleticoYule jamaa ana matatizo ya akili. Afungiwe mpaka msimu uishe kabisa. Ndo yule Verrati wa PSG aliwaambia wachezaji wenzio wawe makini na Costa sababu ya tabia kama hizi
Kocha ameletwa kwa mkataba mkia wa mbuzi ili kuivusha Yokohama isiingie kwenye kundi la bottom 3 tu. Kama mafiaso wa kirusi anataka vikombe atoe mkataba mkia wa ng'ombe.tatizo huyu kocha wa sasa hajui anataka nini amejigeuza mtu wa kushiriki tu kama wenger haonyeshi usongo na kikombe chochote kweli hii ni hasara bora angerudi dimateo
Wachezaji wa Latin America in nature ni wakorofi sana.Mkuu Costa ananafasi yake alimsababishia arbeloa asiitwe z014 sababu ya ile clash Yao alipokua atletico
hah hah... nikiwaonaga hawa tu, bora niangalie wanawake liveMikel na matic kama kawaida
Naona watu wamekimbia humu...Lukaku kuwapupulisha hatari...Rent Boys back to where they belong, a wee mid table club
Huoni timu ilipo braza? Exactly mid table!Really!??
Kweli nyani haoni kundule, hata akipewa kioo!!!
Off topic kidogo.Really!??
Kweli nyani haoni kundule, hata akipewa kioo!!!
Timu aliiharibu domo-kaya Mou. Aliwasifia uhuni wao kwenye media na kusema ndivyo inavyotakiwa wacheze.link 1. Jose Mourinho leaps to Diego Costa's defence after Chelsea wintimu imeharibiwa na hawa hazard,diego costa,fabrigas wanamajungu kama riziwani
Msimu ujao hata europa cup hamna, hii ndo ilikuwa route angalau ya kwenda europa! Sijui nani atakubali kuja chelsea, labda Obafemi Martin.
