DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,184
- 2,597
1:nipe matokeo ya atletico vs barca mechi iliyopita
2: nipe matokeo ya mechi iliyopita kati ya BARCA na BAYERN nani alimpeleka mwenzie out UEFA
Kasepa
1:nipe matokeo ya atletico vs barca mechi iliyopita
2: nipe matokeo ya mechi iliyopita kati ya BARCA na BAYERN nani alimpeleka mwenzie out UEFA
Bibootylover aise unavyofanya sio vizuri! tutake radhi..BACA KITU KINGINE weka mbali na watoto, chelsea mpange nakina granada, sporting gijon na athletic club hao ndio wa size yake mzee.Kuwa muelewa basi mkuu, sishabikii Chelsea, ila naitambua kama ni mpinzani mkali wa Barcelona kwa siku za karibuni, yaani Barca anaweza kuwa vizuri ila akikutana na Chelsea huwa panachimbika
Barca 2-Atletico 1 LAKINI dakika 45 zote Atletico walikuwa 9 baada ya wachezaji wawili kupewa kadi nyekundu!Kumbuka Atletic walichukulia ubingwa nyumhani kwa Barca mwaka juziHuo unaitwa ushabiki mandazi...lete statistics za baca na Atl....baca na bayern,
Barca 2-Atletico 1 LAKINI dakika 45 zote Atletico walikuwa 9 baada ya wachezaji wawili kupewa kadi nyekundu!Kumbuka Atletic walichukulia ubingwa nyumhani kwa Barca mwaka juzi
Bayern imezorota chini ya Guardiola sababu sio kocha mzuri,Bayern ya kocha Jupp Haycknes ilimtoa Barca kwa 7-1 aggregate
unaonekana unapata la kusemea sababu atletico walipewa nyekundu ILA NIKUJULISHE TU KUWA HIZO MBILI WALIFUNGWA WAKAT WAKIWA WAMETIMIA ila kama utahoji sana basi nipe mechi ya kabla hyo ya 2;1 kati ya ATLETICO na BARCELONABarca 2-Atletico 1 LAKINI dakika 45 zote Atletico walikuwa 9 baada ya wachezaji wawili kupewa kadi nyekundu!Kumbuka Atletic walichukulia ubingwa nyumhani kwa Barca mwaka juzi
Bayern imezorota chini ya Guardiola sababu sio kocha mzuri,Bayern ya kocha Jupp Haycknes ilimtoa Barca kwa 7-1 aggregate

Nitake radhi mkuu, niko barca ila kiukweli huwa tukikutana na Chelsea mambo huwa magumu
Asante mkuu maana kuna watu vichwa ngumu, hope watanielewa ss
sasa nashangaa mnaposema BARCA ni mshindani wa yokobus kwa hizo 5
5Vipi mnataka Mou arudi Darajani au mnamruhusu aende Aston Villa?TUMEPIGWA FAIR AND SQUARE ...KTBFFH
We have a very tough game dhidi ya Everton leo baadaye na mko hapa mnabishama ya Barcelona...
semeni tuwaazmishe la masiakile kibabu nux cha everton hakipo kimehamia Norwich" tunashinda .............Duuuuuuuh,, wanachelsea wenzangu kiukwelii ushndi wa leo utakuwaa mgumuu
Costa yupo ............ mimi bado sielewi huyu kocha, Pato anashida gan? remy anakuwa chaguo mbele ya Pato. manina.Mhuuuuu kazi ipo,, absence of Costa,, pigooo
Kuwa mpole mkuu povu la nini wakati bado hamjafungwa? TeeeeheeeCosta yupo ............ mimi bado sielewi huyu kocha, Pato anashida gan? remy anakuwa chaguo mbele ya Pato. manina.