Inawezekana PM zako zimenaswa na "wamiliki". Mimi kwangu haijafika hata moja. Jaribu tena. Au unamtumia member ingine? Au unatumia ID tofauti?Nonda niaje Mkuu.
Uko pouwa kaka? Nimekutumia PM kibao tu naona haujibu.... Au hutaki buguza???
PSG anapigika kesho bila wasiwasi wote ule
,