KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
M
Sasa we unatisha kuwa manager hawezi kuhusika kwenye kupanga matokeo? Chelsea could be taking a big gamble making Antonio Conte their next manager | Daniel Taylor via @Onefootball. Read it here:role ya team manager ni ipi mkuu? una ushahid kuwa conte alihusika kwenye match fixing, kuhusu conte chaguo la kwanza, sijui simeone zote ni tetesi tu mkuu, chelsea board ndiyo ina awareness na nani mtu sahihi, sisi mashabiki hatujui kitu
justice must be proven 2 be done, je conte ameshahukumiwa kwa kwa kufix hiyo match?Sasa we unatisha kuwa manager hawezi kuhusika kwenye kupanga matokeo? Chelsea could be taking a big gamble making Antonio Conte their next manager | Daniel Taylor via @Onefootball. Read it here:
Antonio Conte ticks all the boxes but court case could be a distraction for Chelsea | Daniel Taylor
Nimekuwekea link hiyo soma ndio uelewe sasa
Ndio maana nilikuambia ana skendo na kesi ya kupanga matokeo sikusema ameshahukumiwa......justice must be proven 2 be done, je conte ameshahukumiwa kwa kwa kufix hiyo match?
powa mkuu, ila mimi namkubali sana conteNdio maana nilikuambia ana skendo na kesi ya kupanga matokeo sikusema ameshahukumiwa......
Hata mimi mkuu namkubali sana huyu jamaa na naona bora Conte kuliko simeone, Simeone naona anacheza defensive football timu yake sio free scoring inastrugle kufunga magoli...bora aje Conte tu na akija tutakuwa na nafasi nzuri ya kumvuta pogbapowa mkuu, ila mimi namkubali sana conte
Simeone anajua kutengeneza morali ya wachezaji naona siku hizi anacheza sana defensive,Wote Conte na Simeone(Vijana) watawafaaHata mimi mkuu namkubali sana huyu jamaa na naona bora Conte kuliko simeone, Simeone naona anacheza defensive football timu yake sio free scoring inastrugle kufunga magoli...bora aje Conte tu na akija tutakuwa na nafasi nzuri ya kumvuta pogba
Yap simeone kwenye suala la morali tu nampa mia kama mou vile, anyway kumekuwa na speculations nyingi sana ngoja tusubiri board itamtangaza nani in the next few daysSimeone anajua kutengeneza morali ya wachezaji naona siku hizi anacheza sana defensive,Wote Conte na Simeone(Vijana) watawafaa
Tupo mkuu watu wako busy na mechiUmu ndani melala