Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Aiseee!!! Bado tupo njia panda juu ya nani awe kocha wetu.... Recently Conte ndio amekuwa akihusishwa sana na nafasi hiyo ila kwa taarifa niliyoipata ni kwamba jamaa ana skendo na kesi ya kupanga matokeo hivyo hiyo inaweza ikawa sababu ya Abramovich kumpiga chini...... Sasa sijui nani atakuwa kocha wetu
Hivi Frank Rijikaard yupo pande zipi kwa sasa?, yule ni bonge la kocha, ndio aliutoa unyonge wa Barca kwa Real, hata Pep aliichukua timu iliyosukwa vizuri na huyu jamaa, huwa namkubali sana na kwa kweli angetufaa sana hasa kwa mpira anaouhitaji taita wetu
 
Du rijikaard hata sijui yupo pande zipi labda nianze kumfuatilia kwenye mtandao
 
IT WASN'T THE BEST OF PERFORMANCES

319E7B2A00000578-3467139-image-a-104_1456593603761.jpg

Pamoja na ushindi kuna tatizo dogo kwenye eneo la ushambuliaji. Ukiacha Fabregas, pasi nyingi za hawa attacking midfielders wengine zinakuwa kipofu kiasi. Ni kama hawafanyi mazoezi pamoja.

Mikel mimi bado simkubali, hajitesi kama namba yake inavyomtaka! Labda ni umri lakini blocks/tackles anazofanya ni chache mno kwa position anayocheza!

Baba Rahman amefanya kosa ambalo wachezaji wengi wakubwa wamefanya. Namlaumu kipa ambaye amecheza top flight teams muda mrefu sasa kuwa slow kwenda kuziba kosa. Ila pia dogo - labda ni inexperience - alishindwa kuweka hilo nyuma na kuendelea kucheza vyema. Kwa jana, nampongeza Hiddink kwa substitution aliyoifanya. The kid needs to learn.

Sasa nikawaza, kama Kennedy can deputise kama left back kwa nini asitumike mara kwa mara. Ili kutegemea na adui tuwe tunacheza 3-5-2 au kama adui mkali tunarudia yetu 4-2-3-1???? Kocha aangalie performance ya Kennedy jana aone kama hilo haliwezekani!
Kennedy hawezi vzr kucheza hiyo nafasi. Sema tu ni vile Portsmouth kwa ule upande hawakua wazuri.

Ni kweli bora tucheze na mabeki watatu kwa baadhi ya game
 
Hahaha ntunzu bwana we mechi hukuangalia halafu Leo ulidamkia kilabuni haiwezekani ukasema jana tulicheza na Portsmouth kwanza wapo EPL hao? Lol.... Lakini timu yetu ina mapungufu mengi sana tunashinda basi tu.... Nashangaa fans wengi eti wanalilia hiddink awe kocha wa kudumu
 
Sorry ni Southampton....

Alafu nazungumzia game ile kabla ya hii ya Jana.....

Mkuu nitake radhi Bwana mi silali vilabuni
 
Hahaha ntunzu bwana we mechi hukuangalia halafu Leo ulidamkia kilabuni haiwezekani ukasema jana tulicheza na Portsmouth kwanza wapo EPL hao? Lol.... Lakini timu yetu ina mapungufu mengi sana tunashinda basi tu.... Nashangaa fans wengi eti wanalilia hiddink awe kocha wa kudumu

Hiddink ata mie ningependa awe kocha wa kudumu kwasababu amerudisha hali ya timu vzr
 
Ari ya wachezaji hata di Matteo alirudisha lakini unakumbuka baadaye kilichofuata hadi akafukuzwa? Ari inabadilika sababu tu ya mabadiliko ya saikolojia kutokana na mabadiliko ya kocha ila me simuamini huyu jamaa
 
Huyu jamaa ni kocha mzuri sn Nina mwamini na uwezo wa kujenga timu na kua pamoja hicho ni kitu kibwa anacho. Kwa Chelsea ilivyokua tulikua na hari mbaya sn lkn sasaivi timu imekua pamoja na iko vzr
 
Me pia namsifu kwa kule alikotutoa na hapa tulipo lakini majukumu ya kumpa timu moja kwa moja hapo siafiki bora aje Conte..... Ila bwana mwisho wa siku bodi itaamua yenyewe itamleta mtu mpya au kumwamini hiddink....
 
Hiddink apewe timu tu hakuna namna wakileta mtu mwingine inakua shida

Timu ameijengea hali imekua nzuri anawapa nafasi wachezaji wengi kucheza

Kwa mfano pale awali alipofika alikua akicheza mfumo wa kujilinda sn ili kujenga kujiamini kwa wachezaji na alipofanikiwa hilo akahamia ktk kushambulia na kufunga. Nafikiri pale awali tuliona wenyewe jinsi tulivyokuwa butu ktk ufungaji.

Sasaivi kila unapoangalia game za Chelsea kuna kua na hali ya kutarajia magoli kila muda.

Sasa akija kocha mwingine atavuruga kabisa hii kitu
 
Hahaha ntunzu bwana we mechi hukuangalia halafu Leo ulidamkia kilabuni haiwezekani ukasema jana tulicheza na Portsmouth kwanza wapo EPL hao? Lol.... Lakini timu yetu ina mapungufu mengi sana tunashinda basi tu.... Nashangaa fans wengi eti wanalilia hiddink awe kocha wa kudumu
 
Huyu jamaa ni kocha mzuri sn Nina mwamini na uwezo wa kujenga timu na kua pamoja hicho ni kitu kibwa anacho. Kwa Chelsea ilivyokua tulikua na hari mbaya sn lkn sasaivi timu imekua pamoja na iko vzr
we need changes, we have tired of the same old shit, tuna wachezaji young and talented, almost kocha yoyote bora dunian anawamezea mate, kwa aina yetu ya wachezaji nafikiri tungekuwa bora kwa 3 5 2 au 4 3 3 formation
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom