Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,914
- 10,273
Yani unamfukuza Mourinho then unampa timu Hiddink ?Huyu jamaa ni kocha mzuri sn Nina mwamini na uwezo wa kujenga timu na kua pamoja hicho ni kitu kibwa anacho. Kwa Chelsea ilivyokua tulikua na hari mbaya sn lkn sasaivi timu imekua pamoja na iko vzr