Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mikel ameshaonesha weakness...amesahau yupo pale kama defensive midfielder...ila anakimbia kama kafungiwa trailer nyuma.
Ha ha ha! Leo yamekuwa hayo? Wakati majuzi hapa alimwagiwa sifa kedekede!
 
Njooni basi angalau mutie nguvu jukwaa lenu! Mpo nyuma goli moja tu. Na kuna dakika 30 za kucheza bado.
 
Njooni basi angalau mutie nguvu jukwaa lenu! Mpo nyuma goli moja tu. Na kuna dakika 30 za kucheza bado.
Hahahahaha habari yako ni outdated hakuna aliye nyuma kwa goli moja hapa
 
hahaha!ila wakati mwingine nabaki kushangaa na hii timu nayoshabikia!
 
Out of jail khe khe khe khe khe k hekhekhekheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Rentboys wanaweza kushinda hii mechi. Everton wamepoteza nguvu tangu wafungwe goli la 1...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom