Poyeeeeeeeee.........Nawaza wa kumtupia lawama...
Goalkeeper anafungiwa kwa mashuti ya mbaliNawaza wa kumtupia lawama...
Hongera kwa "ushindi" wa leo.Don't worry mentor leo ushindi upo
Enzo alisema basi limewekwa kiberiti, limewaka, leo Ntuzu ilibidi ababe ndoo ya maji ili kuzima moto kunusuru basi hilo lisije bomoa daraja bovu.Mbona kimyaaaaa!!!
Yeah urefu ndio kikwazo kwakeHuyu kkipa mipira ya chini inamuelemea...sijui urefu ndo shida!???
![]()
Yeah urefu ndio kikwazo kwake
Wewe vipi?Tukiacha ushabiki hamna namna Chelsea wataingia top 4 huo ndio ukweli, courtois naye sio kipa yani najuta kumuacha cech, yani jamaa anafungwa magoli ya mbali tena ya kishenzi..... Njia pekee ya kucheza uefa msimu ujao ni kushinda uefa tu fullstop... Sijaona sababu ya kumfukuza mou Katikati ya msimu maana tatizo ni wachezaji... Ni ngumu kukubali ila top 4 bye bye
Ombeni Man United mbadilishane, Huyu kipa wenu aende Man United na Yule wa United aje daraja bovu.Sasa ni kama wameshamshtukia!!! Inabidi mabeki wafanye kazi ya ziada kumsaidia!
Kuna magoli mengine anafungwa kwa kukosa umakini ipasavyo. Kuna magoli ambayo hututegemei yy kufungwa ndio anafungwa na magoli yale unayotegemea kipa kufungwa yy ndio hucheza vizuri.Sasa ni kama wameshamshtukia!!! Inabidi mabeki wafanye kazi ya ziada kumsaidia!
Lol umenichekesha sana aisee
Huyu kkipa mipira ya chini inamuelemea...sijui urefu ndo shida!???
![]()
Haha haha hatari sana wwe kiumbeusichekee mkuu, lile limasogange lake limemzidii uzito. litatucost ............