Tevez alipofunga penati Bridge alitoa funny comment/gesture kwa Terry, basi kocha aliiona na kumpumzisha fasta. Kingine Tevez alipokuwa anashangilia alikuwa ana point kidole ktkt jezi ya Bridgehivi pale wayne bridge wakati wakupeana mkono angemnasa kibao john terry sijui ingekuwaje lol.
hawakuangaliana usoni eeeh! lkn JT akitoka akaa anaenda kujichapia tu taratibuuu, mapenzi bwana, Bridge anaumia mwenzake anakamua tuuuu!![]()
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
TEVEZ alisema lazima afunge kwa ajili yake,and he's done it!!!
system ipi tena?Jamaa wanajiandaa kufanya system upgrade very soon.Please Ab Tchaaz tunaomba mapicha kabla hamjafanya upgrade
Mkuu leo wamewezwa tunashukuru kwa mapichaaz,ubingwa bado uko wazi hakuna ayetabiliwa mpaka sasa.Masanilo kajificha haonekani hata pale kwa guests.Its allover Tevez kama kawa amekuwa kimeo cha Chelsick baada ya miaka 17 Man City wamewakung'uta bila huruma na unajua nani star ......?
Well done wayne bridge and very well done MAN CITY for­ shitin on Chelsea ..... Shut them.......Penalty kwa Chelsick Lamps 2 ......
Good on Wayne Bridge, he has shown today that he is a­ man with principles and stuck to them today. If only JT­ had some principles then maybe he would have some­ respect for his wife, children, family and friends.­ Although his wife will never get respect now, she is­ allowing him to make a fool of her time and time again.­ Maybe she should get some principles of her own...Hii timu ya wazinzi mbona hivi? Ni Saikoloji inawaathiri nini? Juzi nilisoma gazeti la Sun kuna picha ilipigwa jirani na kwa Cole jamaa aliweka banner pale ikisomeka "CHERYL CALL ME. Love JT xxxxx" ikimaanisha Terry ni maarafu kwa kulamba wa wenzie teh teh