Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

naona sasa wanakula kadi.piga kadi nyekundu hao wote hao.

mpe john terry kadi nyekundu kwa kulala na demu wa bridge au kipigo kinatosha?
 
Chelsea kweli sijui nini kimewapata,Ballack nje,ama kweli hakuna mume wa waume.

Hawafurukuti hawa kwa Man City unakumbuka walivopigwa magoli na golikipa wao .... .... ..... .... ... LOL
 
Kutokuwepo kwa kipa wetu kumetugharimu SANA...

Kilio cha mtu mzima ndio leo!

Am speechless 🙁

Kwani huyu wa leo sio kipa wenu invisible? teh teh Bridge walau kapozwa jamani dah
 
Chelsea ni timu yenye wachezaji wazuri na wakicheza kwa bidii anything can happen,ila nahisi kama bado kuna goli moja kabla ngoma haijaisha,either chelsea walimwe la nne ama wapate la pili.
 
_47385248_bellamy_pa766.jpg


Bellamy 4 Kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kutokuwepo kwa kipa wetu kumetugharimu SANA...
🙁
kumbe mpaka nyie wakubwa mnaliaga na majeruhi? nilijua sisi tu ambao tunaambiwa kisingizio chetu kila siku majeruhi.

pole sana mkuu ndio ukubwa huo.


aibuuuu huku ,masanilo angalia usijiue huko na pombe mkuu.ndio mpira.


Masanilo 4 TeveBela 1
 
Ha ha ha! Kama nilivyosema!sasa kama ni kweli inavyoonyesha bifu la Man City wanaweza wakawa wanataka la tano.Kazi kweli kweli,inategemea na dakika za nyongeza.
 
Haka kachanga ka Tevez kalikozaliwa premature kule Argentina kamekuja na bahati yake kwa Baba yake.
 
...aaahhh, mpira netiboli???

ngoja niende zangu kufunga upepo nje mie
😀😀😀!!!! aaahahhaaa aha!
 
Abraham o vich naona anashika kichwa tu sasa aibu LOL
 
bado inter milan nao watakuja kuwalima hapo hapo kwao..teh teh teh
 
Hizi penalty zingine bana zinaharibu score board tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom