Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,914
- 10,273
Sasa kama amehisi betrayal kwa wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza unadhani ingekua rahisi kutenda kama alivyowatendea wengine?
Chelsea walikuwa na wachezaji wengi mno na bado wako wengi wanacheza kwa mkopo timu nyingine,Jose siku zote ukitofautiana naye huwa anakuondoa mapema ,why alizubaa hadi hao waliokuwa wanamsaliti wakawa wengi ?
Jose anaipenda sana Chelsea na alikuwa anapendwa sana na mashabiki na mwenye timu ndio maana amechukua muda mrefu sana hadi akamfukuza,alijisahau sana akasahau kuchukua hatua mapema