Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Ni kweli Mkuu ata mimi ilinipa ujasili tena wa kua nguvu ya kuwafunga Leicester city lkn matokeo yake tumekua tunacheza vzr lkn kufunga ni butu.....
Hapa ndiyo muda mwingine naamini soka lina bahati nasibu ..... Kuna kitu kina-miss nasubiri wiki kadhaa mbele tuanze kusikia nani mbaya wa nani