Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi kwa nini Mou hakuwaamini wachezaji wengine hasa vijana badala yake wale waliomsaliti na akawafahamu ndo hao hao walikuwa na uhakika wa namba kwake!
Katika soka kuna wachezaji ktk timu ambao ni ngumu kuwabadilisha kwa pamoja, na hii hususani kwa walio ndani ya Kikosi cha kwanza (First Eleven). Wakiwa hata watatu tuu wakawa ni wahujumu basi kocha lazima apagawe, na kumbuka bora uwapange hao ili walau wataweza kucheza huku wakijifichaficha kwamba wasionekane wanahujumu club, ukiwapa vijana wengine ndo waraboronga zaidi pia itajengeka picha kwamba kocha ana bifu na wachezaji.
 
Abrahamovich amekuvuruga kwa mkichwa?

Hujui kuwa Chelsea ni mali ya mafiaso wa kirusi?

Unasema hauko "pouwa"?
Ndio sababu ya kuja na vihoja uchwara?

Nitakusubiri utakapopata mood nzuri.
wacha nikuombee.

Ee Mola muumba mbingu na ardhi patia hii bandugu etu mood ile nzuri, mood ile safi, mood ile inang'ara na epusha yeye na mood ya mourinho".. aameen.

Nonda siko ktk mood nzuri ya kujadili hoja uchwara Mkuu....... I do respect you so much in your comments which you have been posting here. Nikuombe kidogo Mkuu nipe break kidogo.......

Siku nikiwa powa niite tujadili mambo uyatakayo.

Asante sn

Aya bhana Nonda nashukuru.

Basiii kaka Nonda utaniulia Ntuzu wangu mweeeeeee!!!!! Mpaka kaomba poo ,basi Nonda inatosha..... njoo mpenzi wangu Ntuzu upumzike yanapita haya .......
 
Last edited by a moderator:
Katika soka kuna wachezaji ktk timu ambao ni ngumu kuwabadilisha kwa pamoja, na hii hususani kwa walio ndani ya Kikosi cha kwanza (First Eleven). Wakiwa hata watatu tuu wakawa ni wahujumu basi kocha lazima apagawe, na kumbuka bora uwapange hao ili walau wataweza kucheza huku wakijifichaficha kwamba wasionekane wanahujumu club, ukiwapa vijana wengine ndo waraboronga zaidi pia itajengeka picha kwamba kocha ana bifu na wachezaji.

Basi angekuwa na nia ya kumaliza tatizo sio kuongeza idadi ya wahujumu, kama alivyowahi kumuingiza Matic kama sub na kumtoa aliongeza wahujumu, pia kuanza kuwalaumu kwenye media lakini hana tabia ya kujilaumu....lakini wakati anaogopa kuonekana ana bifu na wachezaji kwa kuendelea kuwakumbatia wahujumu jua ni rahisi kwa wale wanaosugua benchi na wanaamini wanastahili kuwa first 11 kuwaunga wahujumu kwa imani labda akija kocha mpya ataniona....enewei sikuwahi kuafiki alichomfanyia dr Eva naamini pia ni chanzo cha kuhujumiwa
 
Mara nyingi hua nakuona unotoa hoja za mashiko lkn ktk hili naona unaongea tu km wewe binafsi una chuki tu na Mourinho.

Km Chelsea wasinge muhitaji Mourinho basi asingeondoka Madrid kwasababu aliondoka Madrid si kwa kufukuzwa.
Pole sana Mkuu najua jinsi unavyompenda Morinyo hadi ulikuwa blind hata akikosea,Chelsea ilipofikia sasa Morinyo sio kocha anayewafaa ndio maana Roman amemvumilia akashindwa.Why baada ya kuchukua ubingwa akaongezewa mkataba wa miaka 4 lakini amefukuzwa
 
Mkuu ni shida.....

Baada ya Mourinho kufukuzwa baadhi ya wachezaji wamesema wazi kutaka kuondoka na kuachana na Chelsea na soccer la Uingereza kwa ujumla..... Hii hali itaighalimu sn timu.

Namuunga mkono Mou aliposema ana-feel betray hapa naona walikua wanacheza karata kama za Dortmund

Ngoja tuone cabinet wanachokiwaza sasa
 
Namuunga mkono Mou aliposema ana-feel betray hapa naona walikua wanacheza karata kama za Dortmund

Ngoja tuone cabinet wanachokiwaza sasa
How Jose aliwaacha hao wachezaji hadi wakafika stage hiyo,siku zote ukimzingua hakuachi.Pepe,Casilas,De Bruyne,Lukaku wanamjua vizuri Jose
 
How Jose aliwaacha hao wachezaji hadi wakafika stage hiyo,siku zote ukimzingua hakuachi.Pepe,Casilas,De Bruyne,Lukaku wanamjua vizuri Jose

Sasa kama amehisi betrayal kwa wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza unadhani ingekua rahisi kutenda kama alivyowatendea wengine?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom