Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

wakumuita "Nonda" mbona sioni comment zake za kejeli au sababu tupo position ya 16????
 
Chelsea walikuwa na wachezaji wengi mno na bado wako wengi wanacheza kwa mkopo timu nyingine,Jose siku zote ukitofautiana naye huwa anakuondoa mapema ,why alizubaa hadi hao waliokuwa wanamsaliti wakawa wengi ?

Jose anaipenda sana Chelsea na alikuwa anapendwa sana na mashabiki na mwenye timu ndio maana amechukua muda mrefu sana hadi akamfukuza,alijisahau sana akasahau kuchukua hatua mapema

Nadhani nyuma ya pazia jeuri ya wachezaji katika mazingira kama haya jua kuna support ya watu fulani wa ndani wenye nguvu kwenye vikao vya maamuzi, si bure
 
Basiii kaka Nonda utaniulia Ntuzu wangu mweeeeeee!!!!! Mpaka kaomba poo ,basi Nonda inatosha..... njoo mpenzi wangu Ntuzu upumzike yanapita haya .......
Naunga mkono hoja.

Ntuzu yuko Pouwa tu. Kuondoka kwa Mou ndio nafuu ya fans wa ze blauz..wataanza kushinda mechi na kupunguza "the gap" na maumivu, pia kuepuka kushuka daraja.
 
wakumuita "Nonda" mbona sioni comment zake za kejeli au sababu tupo position ya 16????
Umeniita au unaniulizia tu?

Ni nani huyo mwenye comment za kejeli? Kalou , CleverKing au mleta katuni?

The best coach in the universe has been axed by Ze Russian mafiaso. Malizia kwa kusoma post ya Rev. Kishoka.
 
akipatikana kocha wa ukweli hat top4 tunatoboa, wachezaji wapo wenye uwezo sema ndio hivyo morinho alikua hajui kuwatumia, hafundishi mpira yeye anajua mbinu tu za kushinda basiii, mpira waachie bacelona na bayarn ..............

Acha mahaba bana, kwa alipo Chelsea saizi ata team apewe sir Alex hawezi ifikisha top 4, yani hadi inatoka huko iliko hadi inafika top4 hizo team zilizopo juu zinafanya nini???? Kwa maoni yangu, kocha mzuri anaweza kuipeleka Chelsea top 8
 
inawezekana sanaa wala hata sio mahaba, ili kumfikia manure pale alipo inahitajika game 4 tu za kushinda na yeye apoteze 4, game nne chache sana na zimebaki game nyingi sanaa ndio hivyo nakwambia akija kocha mwenye akili inawezekana mana wachezaji wapo wazurii ................
 
Mathematical it is possible. ..
Je kiuhalisia inaweza ikawa rahisi kama unavyodhani........?
 
Ata UEFA hawakufanya vzr..... Kote wamecheza hovyo tu. Ni game moja tu ya Fc Porto ya Darajani ndio waliyocheza kidogo vzr. Lkn game zote walicheza hovyo.

sawa hawakuchaza fresh kivileee, kwa nini kama ni makusudi wasinge jiweka wa mwisho kwenye group.
 
Umeniita au unaniulizia tu?

Ni nani huyo mwenye comment za kejeli? Kalou , CleverKing au mleta katuni?

The best coach in the universe has been axed by Ze Russian mafiaso. Malizia kwa kusoma post ya Rev. Kishoka.

Mkuu umeitwa na comment zako za Kejeli lakini naona unanitupia mimi!! Hahahaaaaa!! MOURINHO one of the best coach on Earth
 
Mkuu umeitwa na comment zako za Kejeli lakini naona unanitupia mimi!! Hahahaaaaa!! MOURINHO one of the best coach on Earth

The earth of Cowshed khe khe khe khe khe khe khek khekhekheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mathematical it is possible. ..
Je kiuhalisia inaweza ikawa rahisi kama unavyodhani........?

mi naona inawezekana sana, hizo game nne kupata point kw timu zilizopo juu yetu inawezekana sana, kuna timu nyingi sana zilizopo juu yetu ni point zetu mojawapo ni manure, ndio mana nikasema akija kocha makini, wachezaji wapo inawezekana .............
 
hicho ndicho hata mimi najiuliza, kama ni kweli walikua wanamkomoa sa kwa nini washinde game za UEFA si wangemkomoa kabisa kote, ndio tunarudi pale pale uwezo wa kocha UEFA group lilikua rahisi, EPL ngumuu ............
uwezo wa Klopp wa liva sio sawa na ule wa Dortmund umeshukaa. ila sijui ni mapema sana kujudge.

Teeehe teeehe naona unaitafuta battle kwa lazima
 
Ata UEFA hawakufanya vzr..... Kote wamecheza hovyo tu. Ni game moja tu ya Fc Porto ya Darajani ndio waliyocheza kidogo vzr[color]. Lkn game zote walicheza hovyo.

Hii hasa ndiyo ilinishtua nakumbuka hata humu niliwasifia for that come back
 
Hii hasa ndiyo ilinishtua nakumbuka hata humu niliwasifia for that come back

Ni kweli Mkuu ata mimi ilinipa ujasili tena wa kua nguvu ya kuwafunga Leicester city lkn matokeo yake tumekua tunacheza vzr lkn kufunga ni butu.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom