Baada ya international break, sasa business as usual.........
Sio kosa lako, kosa ni la laana ya Dokta Eva Carneirro kuzidi kutafuna... kutoka kuwa Bingwa mtetezi mpaka kuwa Mshukaji daraja mtetezi.hujielewi
Kwahiyo walikuwa wanatafuta sare wakiwa nyumbani..hahahaaaaaaaaaaAt least mtakaa two weeks bila kipigo....Mwaka huu relegation battle ni ngumu sana! Ntuzu bado una ndoto za ubingwa?!! Mentor umekuwa mpole sana mkuu.
Ila mechi yenu vs stoke city namlaumu sana Remy,ameleta ushujaa usio na msingi. Alitakiwa aanguke yeye anajidai kukomaa, na refa hakuwa fair ile ni penati kabisa. Remy kamruka kipa akijisalimisha aisiume na kitendo hicho kikampotezea balance na akashindwa kufunga,ni penati.
Tumeanza league sasa