Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

5-1 ndo habari ya mujini 🙂

Hiyo 5-1 ndio habari ya lini tena, au unaongelea Munchen, hao ni wetu tu tunamiadi kukutana fainali ... ..stay tuned tumewaachia tu maana mwaka huu ndio hivyo tena tukikutana fainali kwenye neutral ground tunawabamiza khe khe khe khe khe keh khe ke khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW Fungua uzi wetu wa ''New Era at The Emirates'' Wacha roho ya korosho. kama roho bado inakuuma usiufungue. khe khe khe khe khe khe ke khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
At least mtakaa two weeks bila kipigo....Mwaka huu relegation battle ni ngumu sana! Ntuzu bado una ndoto za ubingwa?!! Mentor umekuwa mpole sana mkuu.

Ila mechi yenu vs stoke city namlaumu sana Remy,ameleta ushujaa usio na msingi. Alitakiwa aanguke yeye anajidai kukomaa, na refa hakuwa fair ile ni penati kabisa. Remy kamruka kipa akijisalimisha aisiume na kitendo hicho kikampotezea balance na akashindwa kufunga,ni penati.
 
Last edited by a moderator:

Unataka uone mawazo wetu yetu juu ya hilo swala la Remy? Tumeamua kukaa kimya msije mkatufungia mashabiki kutizama mpira.
 
Khe khe khe khe khe khe khe..........sing when you are winning............
 
Sikupendi siku hizi na siwapendi mashabiki wa Man U wote.

khe khe khe khe khe khe...................kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

7k.jpg

Blame Mentor
 
Last edited by a moderator:
Roman Abrahmovich amekuwa mtu mzima sasa.

Wakati ule sasa hivi Chelsea ingeshakuwa na makocha watatu ndani ya msimu mmoja.

Sio amekua mtu mzima anaujua umuhimu wa Jos? Mourinho. Nafikiri hapo awali wengi mlizani Jos? atafukuzwa kirahisi rahisi lkn naona taratibu mmeanza kuelewe. Jos? ni kocha mkubwa na ameipa Chelsea mafanikio makubwa kuliko makocha wote waliopita hapo Chelsea.

Km mambo hayamuendei vzr sasaivi ni wakati wa kumpa muda na sio kumfukuza.
 
Tuweke ushabiki pembeni. Hivi tatizo ni nini? Mimi sipati logic timu ile ile kocha yule yule kwanini iwe hivi? Man utd tunaweza kusema kwasababu Sir Alex aliondoka, Chelsea tatizo ni nini?
 
Tatizo liko golini kwa kipa na striker. Na baadhi ya wachezaji viwango vyao vimeshuka na pia timu tunazokutana nazo zinawadhibiti baadhi ya wachezaji na kukata kabisa nguvu ya Chelsea.

Na pia epl ni ligi yenye changamoto nyingi sn.
 
Kwa sasa; mambo matatu

Goal keeper - Left back - Striker

Kwa msimu ujao; (assuming hayo matatu hapo juu yatakuwa yametatuliwa) tutabaki na...

Central Defender - Defending Mid Fielder
 
wapenzi wa chealsea tusiwe na hofu hili kombe ni la timu mbili tu man sity au chealsea wengine wanashiriki tu na kule uefa tumeona washiriki wameanza kuondoka wanatuacha wazoefu wa kubeba uefa
 
Kwa sasa; mambo matatu

Goal keeper - Left back - Striker

Kwa msimu ujao; (assuming hayo matatu hapo juu yatakuwa yametatuliwa) tutabaki na...

Central Defender - Defending Mid Fielder

Left back sio tatizo kubwa Mentor kwasababu Baba na Azpilicueta na Zouma hizi nafasi mbili za pembeni kushoto au kulia wanazicheza vzr.

Shida ingine iko ktk viungo viwango vyao vimeshuka. Matic Faby na Hazard wameshuka kiwango ata Oscar na yeye bado yuko na shida. Timu imebaki na Willian na Ramires na Obi ambaye Mourinho hampangi Mara kwa Mara. Kwa mfano game yetu na Lfc kutolewa kwa Obi kulipelekea tukafungwa pamoja na kua Jos? alitaka kushambulia hasa baada ya kwenda mapumziko wakiwa sare. Lkn ilikua sio kumtoa Obi yeye angemwambia Ramires awe huru atembee anavyoweza huko mbele na Obi akabaki pale kati peke lkn Mourinho akamuingiza Matic matokeo yake km hayo tena.

Pedro alikuja na kasi lkn matokeo ambayo timu inapata yanafanya kuvunjika moyo kwahiyo yeye sitamuongelea sn.

Tunaangushwa na baadhi ya wachezaji.... Na beki za kati siku zote haziwezi kuonekana km ni nzuri iwapo mid zikiwa hovyo....

Tutegemee kuona Willian akidhibitiwa game moja na kupotea maana sasaivi yeye ndio anaonekana ni keyplayer.
 
Last edited by a moderator:
Sio amekua mtu mzima anaujua umuhimu wa Jos? Mourinho. Nafikiri hapo awali wengi mlizani Jos? atafukuzwa kirahisi rahisi lkn naona taratibu mmeanza kuelewe. Jos? ni kocha mkubwa na ameipa Chelsea mafanikio makubwa kuliko makocha wote waliopita hapo Chelsea.

Km mambo hayamuendei vzr sasaivi ni wakati wa kumpa muda na sio kumfukuza.

Endeleeni ku-gamble kwenye historia.

Wenzenu wanachanja mbuga.
 
Tatizo liko golini kwa kipa na striker. Na baadhi ya wachezaji viwango vyao vimeshuka na pia timu tunazokutana nazo zinawadhibiti baadhi ya wachezaji na kukata kabisa nguvu ya Chelsea.

Na pia epl ni ligi yenye changamoto nyingi sn.

Wakati mnashinda EPL mwaka jana hakukuwa na changamoto kama mwaka huu?
 
Endeleeni ku-gamble kwenye historia.

Wenzenu wanachanja mbuga.

Mkiambiwa ukweli mnarukia mambo mengine.... Ndio maana wakati mwingine naamua kua shabiki kweli kweli.

Wakati mnashinda EPL mwaka jana hakukuwa na changamoto kama mwaka huu?

Kunielewa ktk hiyo point kwamba epl INA changamoto kubwa si rahisi sn.... Kwasababu hiyo point ina contains mambo mengi sn..... Mkitaka tuchambue ukweli bila ushabiki na mkiacha tambo zenu mnazo zirusha hapa nitashare na nyie maoni yangu yote kwa uwazi lkn km kwa style hii tukutane January to February.
 
Tatizo liko golini kwa kipa na striker. Na baadhi ya wachezaji viwango vyao vimeshuka na pia timu tunazokutana nazo zinawadhibiti baadhi ya wachezaji na kukata kabisa nguvu ya Chelsea.

Na pia epl ni ligi yenye changamoto nyingi sn.

Aisee ni maajabu wachezaji wengi kushuka kiwango ghafla. Rooney wetu anaanza kushuka kiwango,ila dalili tuliziona tangu last season. Hii inakuwaje? Eti Mentor unaonaje wachezaji wengi kushuka kiwango ghafla?
 
Last edited by a moderator:
Aisee ni maajabu wachezaji wengi kushuka kiwango ghafla. Rooney wetu anaanza kushuka kiwango,ila dalili tuliziona tangu last season. Hii inakuwaje? Eti Mentor unaonaje wachezaji wengi kushuka kiwango ghafla?

Hazard kafanya nini msimu huu?

Matic?

Fabregas?

Oscar?

Costa?

Viwango vyao viko sawa na msimu uliopita?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom