Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Kwahiyo siku zote , mlikuwa amjaanza?
Asante kwa kunielewa
Kwahiyo siku zote , mlikuwa amjaanza?
Kabla ya chrismas tutakuwa tumeshatinga top four
Watani naona mwaka huu ni majanga tu
BanduguAsanteni wote wadau mliopita kutupa hongera ya ushindi......
Thx na pamoja sn.
Utakuwa umesoma matokeo ya mpinzani wako wa wiki kesho.
Utakuwa umesoma matokeo ya mpinzani wako wa wiki kesho.
[h=2]Tottenham 4 - 1 West Ham[/h]Wiki ya kesho wamesema wanataka 5. Mimi nimeanza ku-draft kadi za mkono wa pole na kutafuta maneno muafaka ya kuwafariji Yokohama. Teh tehh. 😛oa
Naombeni muniunge group la whatsap la Chelsea kwa no hii +255 756505618
Aisee hao spurs hawana chao kabisa hiyo tarehe 29.... Naenda kuwapiga hapo hapo kwao.
Natamani sana muwapige kwasababu wanatishia usalama wetu hapo top four! Ila sioni uwezekano wa nyinyi kuwapiga hao jamaa.