RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,891
- 129,946
Teh teh teh teh.... Kaa utulie uje uone....
Sawa mkuu....wakati huo mimi namdungua Leicester City nakaa pale juu!
Teh teh teh teh.... Kaa utulie uje uone....
Sawa mkuu....wakati huo mimi namdungua Leicester City nakaa pale juu!
Sioni km utaweza kumpiga huyo charie.....
Kwani kuna timu wewe ulitegemea tutazifunga hadi kushika namba mbili?!!
Aiseeeee!!!!! Kama Mnaweza kuichukia hivi timu yenu si mchezo siku 6 hakuna aliyeingia??????? Mmelisusa jukwaaa hivi ????? Duhhh Uzi uwe closed tu hamna namna nyingine,wapi wanazi wa Chelsea Ntuzu Mentor and kalou?????? Wapi Manumbu mzee wa news na picha Chelsea???? Poleni sana haya ni mapito tu sote tulipitia kikombe hiki kichungu.........nimepitia kuwapa hi ndugu zangu.....
Namwaminia Mou...ha ha ha all th best
Tunaomba updates jamani
Ntuzu , nasikia mmecheza na timu inaitwa Makapi?Hao vibonde mliwaokota..... Hizo nazo ni timu?
Tunaomba updates jamani
Mwanakwetu mie nipo. ila tumepigwa mpaka nimepoteza mwelekeo!! Ingawa hivyo sijakata tamaa ya walau 4 bora. in fact nahisi FA Cup litakuwa letu mwaka huu na huenda champions league tukafika mbali manake ndo viable options tulizonazo now that tunaanza kurudi mchezoni na hang over na utoto vinaisha
HahahAha ungemfanyaje?
Wewe dogo una kipaji cha usanii. Anzisha "comedy group" utengeneze utajiri.asante mdada! ushindi ni kawaida yetu' na sisi badae tutakuja kutoa pole kule kwenu kw vibabu .............