Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,500
View attachment 305204
Matumaini muhimu
View attachment 305204
Matumaini muhimu
Chelsea kweli imebadilika sana, imetoka kufungwa magoli 3 katika mechi sasa inafungwa goli 1 tu. Hongereni ni Mabadiliko mazuri yanaridhishaPamoja na wakati mgumu tulio nao, bado tuna future. Timu yetu ni nzuri na kwa jinsi walivyocheza na Stoke, timu imebadilika sana. bila shaka tutaanza kupata ushindi kuanzia mechi ijayo. COme mwaka mpya tutakuwa tunajicheka kwa kuwa kwenye position isiyo yetu!
Tunakumbushana tu.View attachment 305245
Aiseeeee!!!!! Kama Mnaweza kuichukia hivi timu yenu si mchezo siku 6 hakuna aliyeingia??????? Mmelisusa jukwaaa hivi ????? Duhhh Uzi uwe closed tu hamna namna nyingine,wapi wanazi wa Chelsea Ntuzu Mentor and kalou?????? Wapi Manumbu mzee wa news na picha Chelsea???? Poleni sana haya ni mapito tu sote tulipitia kikombe hiki kichungu.........nimepitia kuwapa hi ndugu zangu.....

Najua utasema nasingizia ila niko bize balaa...nashukuru sana inanisaidia kupunguza mawazo.
visingizio havikosi
Sikulaumu.
Unajua na wewe unapotea vibaya sn..... Unapotea kila sehemu mpk pale kwenye miadi yetu hufiki kabisa.
Tatizo nini? Au mcharo wako Mentor kakuzibiti?
Mi nanuna sikusemeshi tena
Najua utasema nasingizia ila niko bize balaa...nashukuru sana inanisaidia kupunguza mawazo.