Bado naiona future kwa club ya CHELSEA regardless matokeo ya kutisha msimu huu.
Kumekuwa na sababu nyingi zikitolewa na washabiki wa Chelsea juu ya nini kimetokea hapo darajani kulifanya daraja kutikisika kwa mara ya kwanza kwa miongo mingi.
Kuna wengine wanasema chanzo ni yule mganga wa timu DR. Eva ndiye chanzo kikuu - wengine wanadai kwamba ni wachezaji tu wamejisahau baada ya kushika ubingwa msimu uliopita na huku wengine wakimshutumu Jose kuwa kimya wakati wa usajiri wa msimu.
Ni ukweli usiopingika kwamba kuna baadhi ya wachezaji wamecheza kiwango cha chini sana, Hazard, Ivanovic, Metic, Terry, Cahil, Costa, Fab.
Kinachonipa moyo ni kwamba Chesea ni Club pekee ambayo ina hazina kubwa ya wachezaji makinda ambao wanakipiga sehemu mbalimbali Ulaya - bado naiona future ya Chelsea ikiwa inangaa tena kuanzia mwenzi Januari. Tunaweza kuona sura mpya wakati wa dirisha dogo na baadhi ya hawa wachezaji kurudishwa Darajani kuokoa jahazi.
Cheki mziki huu hapa chini na umri wao ambao wanakipiga nje ya Chelsea.
1. Nathan Ake (Midfielder, Watford, 20)
2. Andreas Christensen (Defender, Borussia Monchengladbach, 19)
3. Mario Pasalic (Midfielder, Monaco, 20)
4. Todd Kane (Defender, NEC Nijmegen, 22)
5. Juan Cuadrado (Winger, Juventus, 27)
6. Victor Moses (Forward, West Ham, 24)
7. Marko Marin (Winger, Trabzonspor, 26)
8. Kenneth Omeruo (Defender, Kasimpasa, 22)
9. Lucas Piazon (Midfielder, Reading, 21)
10. Ulises Davila (Midfielder, Vitoria, 24)
11. Patrick Bamford (Forward, Crystal Palace, 22)
12. Wallace (Defender, Carpi, 21)
13. Stipe Perica (Forward, Udinese, 20)
14. Jeremie Boga (Midfielder, Stade Rennais, 18)
15. Nathaniel Chalobah (Midfielder, Napoli, 20)
16. Matej Delac (Goalkeeper, Sarajevo, 23)
17. Christian Atsu (Winger, Bournemouth, 23)
18. John Swift (Midfielder, Brentford, 20)
19. Islam Feruz (Forward, Hibernian, 20)
20. Alex Davey (Defender, Peterborough, 20)
21. Michael Hector (Defender, Reading, 23)
22. Jordan Houghton (Midfielder, Gillingham, 20)
23. Jhoao Rodriguez (Forward, Sint-Truidense, 19)
24. Bekanty Victorien Angban (Winger, Sint-Truidense, 19)
25. Cristian Cuevas (Midfielder, Sint-Truidense, 20)
26. Lewis Baker (Midfielder, Vitesse, 20)
27. Isaiah Brown (Forward, Vitesse, 18)
28. Dominic Solanke (Forward, Vitesse, 18)
29. Nathan (Midfielder, Vitesse, 19)
30. Danilo Pantic (Midfielder, Vitesse, 19)