Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Ntuzu, Mentor hili swali limeulizwa. Mnajiteteaje?
Chelsea: Are they 'specialists in losing'?BBC Sport - Chelsea: Are they 'specialists in losing'?
Well depends on your definition!
Ntuzu, Mentor hili swali limeulizwa. Mnajiteteaje?
Chelsea: Are they 'specialists in losing'?BBC Sport - Chelsea: Are they 'specialists in losing'?
🎧🎤🎶chelsea yetu wenyewe, tumeipenda wenyewe, chaguo letu milele🎧🎤🎶 wacha tushuke daraja wee🎧🎧👆🏿👆🏿😂😂😂😂😂😂
Chelsea ni ile ile ohh 🎼 ni ile ileeee🎶🎶🎶🎶🎼🎼🎼 Na Mourinho ni yule yule oh ni Yule yuleee 🎼 mashabiki tumejipanga mwaka huu tutaisomaaa🎶🎶🎶🎶🎼🎼🎼😂😂😂😂 😂😂😂😂
Laana kwani amekua Mama yake Jos??
Sawa mkuu nitarudi nao April maana May mbali
ndugu yangu upo?
za jana?
Nipo mkuu
hata mimi naona
Nzuri maana Samantha kachukua golden boot, Mazembe tumemeba kombe bila kusahau Nigeria U17 WC. Tupende vya kiafrica kwanza kabla ya kwingine
Afrika kwanza ulaya baadae.
Samantha amechukua golden shoe
Hahaaaaaa ndiyo mkuu
Kwasababu umekiri kushuka daraja na kuisoma namba hakika ni maombi yangu utekelezewe sawasawa na wimbo wako...............#RIP CFC
5-1 ndo habari ya mujini 🙂
bado Origi au sio
hahahahahBila kumsahau super Mario
Najua mashabiki wengi wa Chelsea ni mamluki..kwa mbaali nawaona wakifungasha mizigo na kurudia timu zao za awali.....