Chelsea inatafunwa na Laana ya Dada Dokta.....Mwambieni Morinyo akaombe radhi kabla ya timu kushuka daraja maana nafasi ya 16 sasa hakuna namna.
Shida sio Mourinho. Tumebadili style of play and ts becoming a bit tough to adapt. Ila we will get there.
January kuna haja kubwa ya kufanya signing za maana za central defender...left back defender...na striker.
Chelsea inatafunwa na Laana ya Dada Dokta.....Mwambieni Morinyo akaombe radhi kabla ya timu kushuka daraja maana nafasi ya 16 sasa hakuna namna.
Costa ni muhuni tu.chelsea mtafungwa mpaka mtakapotupatia majibu kuhusu diego costa
1)ana miaka mingapi
2)kipaji chake ni ngumi au mpira
Hapa kazi tu
to be honesty licha ya haya yote yanayotokea bado naamini moureen ndio kocha sahihi wa chelsea. sijajua tatzo nn kwa chelsea saiz maana kwa game ya Jana wachezaji walijituma sana kila mtu alionesha hali ya kutaka matokeo ila bahati haikuwa kwao, kwamba kuna mgomo baridi wa wachezaji pia siamini labda fabregas, ukiniambia laana ya Dr Eva (mmmhhhhh) mbona hata pre season hamkushinda?
kwa upande wangu makocha ambao wanaweza kuiongoza chelsea ni kloop ( tayari yupo liva) simeon ( kasaini mkataba mpya atletico nafikiri itakuwa ghali sana Ku terminate mkataba wake) na mou mwenyewe,
poleni sana aisee ni mapito tu, bora sisi tunacheza mpira m-bovu ila tunapata matokeo.
Tafuta posts (michango) za Root uzisome.mashabiki wa asenal mdio wanaoongoza kumchukia mourinyo wakifuatiwa na wa man u lakini nawaambia hizo chuki zenu haziwezi kubadilisha kipigo tutakachowapa tukikutana lazma mpigwe tu maana hakuna namna nyingine
Najua mashabiki wengi wa Chelsea ni mamluki..kwa mbaali nawaona wakifungasha mizigo na kurudia timu zao za awali.....
Mlikuwa mnacheza vipi na sasa mnacheza mfumo gani?
Matokeo ya leo ya Man City na yale ya Arsenal yameipa Chelsea nafasi ya kutetea ubingwa wao. Gap ni ndogo ni 15 points tu. Inawezekana hizi timu zimeamua kuisubiri Chelsea i-bounce back ili ligi inoge.If you have been watching the games msimu huu ungeelewa.
But kuanza kukuelezea kwa nadharia ni ngumu kidogo. Its just that mabadiliko hayo yametokea wakati hatujawapata watu wazuri wa defence na striking force. Ila we will bounce back.
Now, Cech's sale feels bad...an untimed sale...didnt foresee the future. Anyway alitaka kuwa mkubwa kuliko timu.
We will be back....!!!
Ntuzu, Mentor hili swali limeulizwa. Mnajiteteaje?Kwa Mara ya kwanza kabisa, chini ya utawala wa Abromovich, Chelsea ina point chache kuliko mechi walizocheza. Game 12,alama 11. Abromovich amekuwa mvumilivu sana. November-december fixture ni nzuri kwa Chelsea. Hii ndio itaokoa kibarua cha Mou.
Unalitamani hilo litokee ila ndo hivyo sisi sio kina Ngongo walioihama arsenal...huyooooooooooooooooooo
Mkuu hili swali nilishakupa jibu kitambo tu....au nikusaidie kutunza?