Kuna kijana mmoja mkaazi wa daraja bovu amepata ajali ya kujinyonga. Alijitundika kwa mwembe na alivaa jezi ya yokohama.Ntuzu popote ulipo pole sana
Kuna kijana mmoja mkaazi wa daraja bovu amepata ajali ya kujinyonga. Alijitundika kwa mwembe na alivaa jezi ya yokohama.
Utambulisho wake,jina) bado haujajulikana.
Sifikirii kama ni Ntuzu kwa sababu Ntuzu saa hizi huwa anapata ulanzi baada ya kuangalia kandanda safi ya Costa na Hazard.
chelsea mtafungwa mpaka mtakapotupatia majibu kuhusu diego costa
1)ana miaka mingapi
2)kipaji chake ni ngumi au mpira
Hapa kazi tu
Wenye jukwaa wako "bizee" wamejificha kwa uvunguni au darini?
Ze bluuz iko kwenye "mkwamo"
Mentor, Kalou
Leo Evanovic hakuwepo, Na Mourinho hakuwepo, vichochoro havikupo uwanjani. Naomba list ingine leo nani alikuwa uchochoro?
Ntuzu kwa matokeo ya leo(kipigo) ni bahati kwa Mou. Halazimiki kufanya post-match interview. FA itabidi wasubiri wiki inayofuata kama wanataka mapesa ya Mourinho.
Enzo, Root, CleverKing na ze blauz zote mjitayarishe kuchukua nafasi ya 17 wiki kesho. Newwcastle anataka nafasi yenu mliyoipigania leo? Timu zingine zinapigania kwenda juu, Chelsea inapigania kwenda kusalimiana na Aston Villa na Sunderland?
Ze special one ni noumaaaa! Mou ametaka laana ya Wenger na Eva sasa ameipata.
Nilisahau kumuambieni pole. Poleni nyote kwa mpigo kwa kipigo.
Kuna kijana mmoja mkaazi wa daraja bovu amepata ajali ya kujinyonga. Alijitundika kwa mwembe na alivaa jezi ya yokohama.
Utambulisho wake,jina) bado haujajulikana.
Sifikirii kama ni Ntuzu kwa sababu Ntuzu saa hizi huwa anapata ulanzi baada ya kuangalia kandanda safi ya Costa na Hazard.
Huu upepo ulianza hivi hivi kwa kina AC Milan, Inter Milan, Liverpool,ngoja tuone wakwenu utaishia wapi.......Hahahahaaaa.......
Wakati mwingine nikipitia hizi comments zenu nabaki nafurahi tu.......
Niwashukuru wote waliotupa pole na waliotuambia tukome pia nawashukuru sn......
Nachopenda kuwambia wote ni kwamba timu itakaa vizuri tu huu ni upepo tu unaopita.
Hahahahaaaa.......

Msimu huu Mou anataka kubeba UEFA tu ndio target yake. Hivi "vikombe" mbuzi , ngao, Epl , FA cup ameshavichoka. Au vipi Ntuzu, Mentor, Enzo?​Ngoja mfungwe tu labda kocha wenu atapunguza kuchonga.
​Ngoja mfungwe tu labda kocha wenu atapunguza kuchonga.