Mkuu huu si upepo peke yake ujue... the blues are becoming the reds and there is no sign of the greens.... the special one to unwanted one... This is football dahHahahahaaaa.......
Wakati mwingine nikipitia hizi comments zenu nabaki nafurahi tu.......
Niwashukuru wote waliotupa pole na waliotuambia tukome pia nawashukuru sn......
Nachopenda kuwambia wote ni kwamba timu itakaa vizuri tu huu ni upepo tu unaopita.
Unajua mkifungwa mechi moja baada ya 10 games nduio inanoga kuwatania....sasa hivi mnafungwa kila bada ya mechi moja hata kuwatania haina maana! inabidi tuwatanie mkishinda MAANAKE MNASHINDA KWA MWEZI MARA MOJA KAMA MENSTRUAL CYCLE!!!!
Hahahahaaaa.......
Wakati mwingine nikipitia hizi comments zenu nabaki nafurahi tu.......
Niwashukuru wote waliotupa pole na waliotuambia tukome pia nawashukuru sn......
Nachopenda kuwambia wote ni kwamba timu itakaa vizuri tu huu ni upepo tu unaopita.
Kuna kijana mmoja mkaazi wa daraja bovu amepata ajali ya kujinyonga. Alijitundika kwa mwembe na alivaa jezi ya yokohama.
Utambulisho wake,jina) bado haujajulikana.
Sifikirii kama ni Ntuzu kwa sababu Ntuzu saa hizi huwa anapata ulanzi baada ya kuangalia kandanda safi ya Costa na Hazard.
Inaonekana bado Roman hajapata mrithi wa Mourinho,akipatikana tu Jose atapigwa chini
Shida sio Mourinho. Tumebadili style of play and ts becoming a bit tough to adapt. Ila we will get there.
January kuna haja kubwa ya kufanya signing za maana za central defender...left back defender...na striker.
Abrom anajua kuwa tatizo la team sio Kocha ila kuna uhuni wa baadhi ya wachezaji ambao wameshajulikana kuwa wanaihujumu team na kocha kwa makusudi..!!
Ukifika muda mtawajua tu hao player
Kwa Mara ya kwanza kabisa, chini ya utawala wa Abromovich, Chelsea ina point chache kuliko mechi walizocheza. Game 12,alama 11. Abromovich amekuwa mvumilivu sana. November-december fixture ni nzuri kwa Chelsea. Hii ndio itaokoa kibarua cha Mou.
Mkuu kwanza pole sana maana sitaki kuona msimu ujao haupo kwenye ligi.
Vipi kale kaushahidi niendelee kukatunza au nikachome moto????