Msijali wamesema mpira utarudiwa kwenye match of the day sasa hapo ndio mkomae mrudishe goli ... khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mourinho kama hajafukuzwa wikiendi hii, basi hatofukuzwa....Naanza kuwaonea hurma mlitakiwa kupata penati(Remy Loic) mwishoni lakini ndio hivyo tena. Hata hivyo Mkome....
hii michezaji ya chealsea inaniboa sana leo wameniaribia weekand yangu sijui nani kawaloga yaani wangejua tunavyopata shida huku mitaani wasingefanya uzembe ivi
Poleni ndugu zangu,niko nanyi kipindi hiki kigumu no vigodoro humu again NtuzukalouRootENZOMentor pole sana ila mimi Nina huruma ungekuwa wewe ushanijazia vikatuni kibao,take it easy Mcharo wangu.
Poleni ndugu zangu,niko nanyi kipindi hiki kigumu no vigodoro humu again NtuzukalouRootENZOMentor pole sana ila mimi Nina huruma ungekuwa wewe ushanijazia vikatuni kibao,take it easy Mcharo wangu.
[h=2]Chelsea are 16th in the league[/h] That's their seventh Premier League defeat out of 11 games this season, their third on the spin. It leaves them in sixteenth place, three points off the relegation zone. The win moves Stoke up to 12th, sandwiched between West Brom and Watford. They were completely outplayed at times tonight, but dug in for a fine win against a Chelsea team that put in one of its better performances of the season, but still got beaten. Man of the match for me was Eirik Pieters, who soldiered on for the entire game despite having his nose smeared all over his face for most of it. As if that wasn't bad enough, he also took a football in the swingers, which will at least have taken his mind off the pain in his nose.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.