Mtu ingine ingeleta hii picha ,ungelalamika kwa wanamtukana Mou.Mmefurahi .....
Haya picha hii sasa ongeza furaha....
Picha inaonesha Mou amegeuka Moureen. Nini ujumbe wako?
Unatafuta Ugomvi kutoka kwa Enzo au unakubaliana na Root kuwa Mou akafanye kazi za kwa jiko.?