Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahahaaaa napakua Nonda

Vipi kule kwetu Maalim Saif atapewa nchi?
Ulimpigia "kula"?
Pia Ulipeleka familia vituoni kumpigia "kula"?
Kama jibu ni ndio, basi haibiwi mtu hapa!! Linda ushindi wako!

Kwenu ni mchambawima, makunduchi au mwanakwelekwere?

Pinda alishasema Zanzibar si nchi.
Kwikwete kwa kiherehere alisema Zanzibar ni nchi ndani lakini si nchi nje ya Tanzania.

Sawasawa! Zungusha zungusha, zungusha! Moureeennn, powerrrr,, Ze bluuuzzz, ziiiii! ze bluuzzz, Ziiiiiiii!

Usibanie, pakua picha dugu, tupate kuongeza furaha.
 
Tatizo la chelsea kwa sasa ni nn zaidi
Tatizo la Chelsea ni kuishiwa na mbinu na ubunifu. Walizoea kucheza meieleka na rugby pia kujitupa tupa hovyo, kujirusha chini na kumzunguka mwamuzi. Hizi mbinu zimegundulika na waamuzi na timu pinzani. Chelsea wanajaribu kucheza mpira kwa sasa kitu ambacho si mazoea yao hili ndio tatizo kuu.

Tatizo la pili ni udomokaya, upayukaji na udaku wa Mourinho, vitu ambavyo vimemletea mgogoro na sintofahamu na vyombo vya habari na FA.

Tunaweza kwa kujiamini kabisa kusema Tatizo la Chelsea ni ukosefu wa 1.nidhamu, 2.mbinu mpya na 3. uweledi wa kutandaza kabumbu uwanjani.
 
Watu bwana!! Eti mwizi akikuta jezi ya Chelsea imeanikwa nje ataiba vibanio pekee 😂😂😂😂
 
Ulimpigia "kula"?
Pia Ulipeleka familia vituoni kumpigia "kula"?
Kama jibu ni ndio, basi haibiwi mtu hapa!! Linda ushindi wako!

Kwenu ni mchambawima, makunduchi au mwanakwelekwere?

Pinda alishasema Zanzibar si nchi.
Kwikwete kwa kiherehere alisema Zanzibar ni nchi ndani lakini si nchi nje ya Tanzania.

Sawasawa! Zungusha zungusha, zungusha! Moureeennn, powerrrr,, Ze bluuuzzz, ziiiii! ze bluuzzz, Ziiiiiiii!

Usibanie, pakua picha dugu, tupate kuongeza furaha.

Hahahahaaaa napakua Nonda

Mi kwetu Tomondo pale yakheeee......
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la Chelsea ni kuishiwa na mbinu na ubunifu. Walizoea kucheza meieleka na rugby pia kujitupa tupa hovyo, kujirusha chini na kumzunguka mwamuzi. Hizi mbinu zimegundulika na waamuzi na timu pinzani. Chelsea wanajaribu kucheza mpira kwa sasa kitu ambacho si mazoea yao hili ndio tatizo kuu.

Tatizo la pili ni udomokaya, upayukaji na udaku wa Mourinho, vitu ambavyo vimemletea mgogoro na sintofahamu na vyombo vya habari na FA.

Tunaweza kwa kujiamini kabisa kusema Tatizo la Chelsea ni ukosefu wa 1.nidhamu, 2.mbinu mpya na 3. uweledi wa kutandaza kabumbu uwanjani.

New Zealand kampiga Australia.........
 
_86426395_lineker.png
Match of the Day presenter Gary Lineker tried to reassure Chelsea fans

_86428437_mourinho.jpg

_86427905_omar.jpg

_86430476_sink.png

Poleni wakuu khe khe khe khe jhe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
2DF9C40300000578-3298126-image-a-6_1446306029522.jpg

Moureen anawaaga makocha wake
''Niliambiwa nisiposhinda leo kibarua kinaota mbawa''
khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

2DF9408500000578-3298018-image-a-15_1446306755978.jpg

Majuto mjukuu khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hahahahaaaa napakua Nonda

Mi kwetu Tomondo pale yakheeee......
Unadanganya bana. Kwenu ni darajabovu. yakheee..

Daraja lililovunjwa na majogoo leo bila huruma.

Nasubiria picha za ziada kama ulivyoahidi.
 
BTW nantafuta Invisible Mungiki Brother aka Mentor ing i d o t s chijui kakimbilia Kibera khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Unadanganya bana. Kwenu ni darajabovu. yakheee..

Daraja lililovunjwa na majogoo leo bila huruma.

Nasubiria picha za ziada kama ulivyoahidi.

Kule daraja bovu ni kwa ankali Hamy atii.. Mi kwetu Tomondo.......unataka picha sio? Kaa utulie zinakuja.
 
Tatizo la Chelsea ni kuishiwa na mbinu na ubunifu. Walizoea kucheza meieleka na rugby pia kujitupa tupa hovyo, kujirusha chini na kumzunguka mwamuzi. Hizi mbinu zimegundulika na waamuzi na timu pinzani. Chelsea wanajaribu kucheza mpira kwa sasa kitu ambacho si mazoea yao hili ndio tatizo kuu.

Tatizo la pili ni udomokaya, upayukaji na udaku wa Mourinho, vitu ambavyo vimemletea mgogoro na sintofahamu na vyombo vya habari na FA.

Tunaweza kwa kujiamini kabisa kusema Tatizo la Chelsea ni ukosefu wa 1.nidhamu, 2.mbinu mpya na 3. uweledi wa kutandaza kabumbu uwanjani.

Kwahiyo unataka Mourinho awe Domo zege? Awe Bubu? Mourinho anasimamia na kukitetea anachokiamini na huo ndio uanaume,ni bora kufa huku ukiwa umesimama kuliko kuishi huku umepiga Magoti,

Mou ataendelea kukitetea anachokiamini,na anapoona anafanyiwa uhuni na Marefa au FA hawezi kuwa Bubu ataongea tu,

Mtu kuongea anapoona anadhulumiwa ni kutokuwa na nidhamu? Nafikiri utakuwa hujui nini maana ya "Nidhamu"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom