Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jamani tusikimbiane baada ya game,michezo ni furaha tujue kuna kushinda na kushindwa
 
Inaonekana Roman bado hajapata kocha wa kumrithi Mourinho
 
Ntuzu ndugu yangu ndiyo soka lina msimu wake ni kuvumilia tu kaka
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha leo tutasikia visingizio kama 100 toka kwa Mourinho.
 
"daraja limegeuka la mabua leo"

japo maisha ni kupanda na kushuka ila ze bluz naona nyie mmeporomoka
 
Ntuzu, kalou, Mentor itakuwaje kuanzia dakika 2 toka sasa? Mourinho wenu ndio huyooooooooooooooooooooo amekwenda kurudisha kitambulisho chake cha Chelsea.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom