Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tangu League ianze haijapanda zaidi ya nafasi ya 13. Ngoja tuone maurinho atamlaumu nani Leo...
 
Tangu League ianze haijapanda zaidi ya nafasi ya 13. Ngoja tuone maurinho atamlaumu nani Leo...
Atamlaumu mwamuzi kwa muda wa nyongeza kipindi cha kwanza, pia atamlaumu mwamuzi kwa kutompa Lucas kadi ya pili ya njano.

Pia atalaumu Klopp kwa kusimama saa zote na kutoa maelekezo au kushangilia timu yake.
 
Mkuu nilipo ona ile perfomance na Soton nikajua 100% Chelsea haponi

Chelsea kila mtu anaomba akutane nayo kabla Morinho hajafukuzwa, una uhakika wa kuifunga Chelsea at least goli mbili
 
Duh! Pamoja na majigambo yake na kashfa kwa Wenger ila mimi kama binadam naomuonea mou huruma mtu mzima kulia sio jambo la kitoto

Itakuwa poa wakimuongezea muda
 
Poleni wadau duh cute b rudi kwako sasa muda umefika
 
Last edited by a moderator:
Nilifikiri leo Chelsea na Ntuzu watatufanya tuwe hatuna furaha lakini majogoo ya Malafyale yalicheza kama majogoo yaliyojeruhiwa baada ya bao la Ramires.

Chelsea wamekalishwa vibaya sana leo na pia ipo red card ya yule muhuni Costa alipompiga daluga Skrtel dakika ya 60. Mwamuzi hakuona uhuni wa Costa lakini camera zimenasa. FA wana nafasi tena ya kupata pauni 50 zingine kutoka kwa Mourinho wakiangalia Video.

[h=1]Jose Mourinho 'not worried' about his Chelsea job[/h]Jose Mourinho insists he is not concerned about his future as Chelsea manager as he looks to revive their season.
The defending Premier League champions are 15th in the table and have won three league games this season.
"I am not worried about my job. I am not worried about my future," Mourinho said ahead of Saturday's visit of Liverpool.

http://www.bbc.com/sport/0/football/34679029
 
Duh! Pamoja na majigambo yake na kashfa kwa Wenger ila mimi kama binadam naomuonea mou huruma mtu mzima kulia sio jambo la kitoto

Itakuwa poa wakimuongezea muda

Mou kalia?? Kalia mchozi kabisa??
 
Atamlaumu mwamuzi kwa muda wa nyongeza kipindi cha kwanza, pia atamlaumu mwamuzi kwa kutompa Lucas kadi ya pili ya njano.

Pia atalaumu Klopp kwa kusimama saa zote na kutoa maelekezo au kushangilia timu yake.

'like' ''
 
Darajani ni Majanga nowadays
Wenye daraja wako bizee!(wamenywea na kujificha).
Ntuzu, Mentor, Root, Enzo, Kalou, CleverKing et al mukuje hapa timpeni "pole" na "Hedex".

Nasikia Majogoo yalitega misimari mitatu kuangalia uiamara wa Tairi la Yokohama, vipi jamani nani anajua kilichotokea?

Yokohama imetolewa upepo?

Duh! Utulivu umerudi mtaani. Hapa ilikuwa ze special one, ze special one, ze bluuzzz, ze bluuzz...ze bluuzzz imevalishwa "blauz"

Niliona wanazi wa darajani wanaondoka kwa mlolongo baada ya bao la pili la Ze majogoo huku wakiimba JOosee Mourinhoooo!
 
Wenye daraja wako bizee!(wamenyea na kujificha).
Ntuzu, Mentor, Root, Enzo, Kalou, CleverKing et al mukuje hapa timpeni "pole" na "Hedex".

Nasikia Majogoo yalitega misimari mitatu kuangalia uiamara wa Tairi la Yokohama, vipi jamani nani anajua kilichotokea?

Yokohama imetolewa upepo?

Duh! Utulivu umerudi mtaani. Hapa ilikuwa ze special one, ze special one, ze bluuzzz, ze bluuzz...ze bluuzzz imevalishwa "blauz"

Niliona wanazi wa darajani wanaondoka kwa mlolongo baada ya bao la pili la Ze majogoo huku wakiimba JOosee Mourinhoooo!

Niambie Mkuu Nonda
 
Last edited by a moderator:
Niambie Mkuu Nonda
Leo huna uchambuzi wa mechi hii?
Au unahitaji muda kutafakari kama unataka kuamua kuwepo alipo?

Kweli kipigo si mchezo, Leo Ntuzu unamwita Nonda Mkuu.
Ukishangaa ya NEC ,utaona ya ZEC.
 
Leo huna uchambuzi wa mechi hii?
Au unahitaji muda kutafakari kama unataka kuamua kuwepo alipo?

Mmefurahi .....

Haya picha hii sasa ongeza furaha....
 
Attachments

  • 1446304453754.jpg
    1446304453754.jpg
    36.2 KB · Views: 60

Similar Discussions

Back
Top Bottom