Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leo nimejikuta nina mahaba na mou...
Kweli nafarijika sana mou akiwa kocha wa chelsea...msimfukuze bhana.. mna kocha jasiri sana...
Sasa kama chelsea player na fans mnaomba mfungwe ili mumfukuze mmefeli mimi leo naiombea chelsea ifunge...
Cc everlenk.. umoja ni nguvu tuiombee chelsea leo ipate point tatu

Halafu mods leo wanafitina sijui kidude cha like wamekipeleka wapi? Mhhh!! Mimi nina Mahaba na wote niko katikati huku mume kule kaka loohhhhn!!! Sina la kusema miye ila leo yoyote ni halali yangu kwa kucheza kigodoro......lol
 
Last edited by a moderator:
Halafu mods leo wanafitina sijui kidude cha like wamekipeleka wapi? Mhhh!! Mimi nina Mahaba na wote niko katikati huku mume kule kaka loohhhhn!!! Sina la kusema miye ila leo yoyote ni halali yangu kwa kucheza kigodoro......lol

Kitufe cha like leo ndio umegundua hakipo? Lol tangu juzi pacha...
 
Kitufe cha like leo ndio umegundua hakipo? Lol tangu juzi pacha...

Kwangu kilikuwepo bado wakati wengine wanalalamika mimi nilikuwa napeta tu....jukwaa hili sijui wamejificha wapi wagalatia wote hata siwaoni...lol
 
article-3297399-2DF60FD400000578-357_964x386.jpg

Chelsick damu wako wapi? i.e. @Invisible et al.
 
The bluuuuuuuuuz...
Eeh Mungu msaidie mou amburuze huyu mtoto klopp
 
Jamani mbona Chelsea Fc tunafungwa very soft goals😴😢😢? Daaah huyu kipa Begovic majanga tu hamna kitu kabisaaa. Shit
 
Chelsea mtatuua presha jamani!!! nampenda sana morinyo sitaki aondoke!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom