Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Msiwe mnamuuliza Jos? maswali mkifanya hivyo majibu ya shombo yanawahusu. Jibu kuhusu kuumia kwa Costa linawafaa sn wakaanga sumu
Boss Jose Mourinho says he "cannot promise" that Chelsea will qualify for the Champions League next season.
The defending Premier League champions sit 15th in the table after winning three league games this season.
Reports have suggested the 52-year-old could lose his job if the Blues are beaten by Liverpool on Saturday.

http://www.bbc.com/sport/0/football/34679029

Chelsea board tell Jose Mourinho: Stay in top four contention and your job is safe

http://www.standard.co.uk/sport/foo...contention-and-your-job-is-safe-a3082861.html
 
Last edited by a moderator:
12190801_779035738888930_7802839416847792347_n.jpg
 
Unasikitika kwa nini Mou alimruhusu aondoke au ujumbe wako ni upi?

Vipi Gap iliopo Epl inazibika au umeshakata tamaa Mr. Mind the gap?

Naona umekuwa mbilikimo siku hizi, unachungulia kutoka darini tu. Au uko bizee?
 
Kesho mida kama hii mtakuwepo hapa au mtakuwa mmeshaondoka na Mourinho? Kalou, Ntuzu, Mentor
 
Boss Jose Mourinho says he "cannot promise" that Chelsea will qualify for the Champions League next season.
The defending Premier League champions sit 15th in the table after winning three league games this season.
Reports have suggested the 52-year-old could lose his job if the Blues are beaten by Liverpool on Saturday.

http://www.bbc.com/sport/0/football/34679029

Chelsea board tell Jose Mourinho: Stay in top four contention and your job is safe

http://www.standard.co.uk/sport/foo...contention-and-your-job-is-safe-a3082861.html

Hiyo haimsumbui ata km wamtimuwe leo kila wakati atabaki kua yeye ni special....
 
Last edited by a moderator:
Kesho mida kama hii mtakuwepo hapa au mtakuwa mmeshaondoka na Mourinho? Kalou, Ntuzu, Mentor

Mi nipo Mkuu na nimejaa tele.... Kidogo nilikuwa nimetulia nikiitafakari hii nchi yangu na kutafuta kitu cha kunifariji na kunitia moyo.......
 
Mi nipo Mkuu na nimejaa tele.... Kidogo nilikuwa nimetulia nikiitafakari hii nchi yangu na kutafuta kitu cha kunifariji na kunitia moyo.......

Umetangaziwa mtu wa hapakazitu hili halijakufajiri na kukutia moyo?

subiri, huenda matokeo ya kesho yakakutia moyo.
 
Hiyo haimsumbui ata km wamtimuwe leo kila wakati atabaki kua yeye ni special....
Mou ameamua anataka top 4. Ameamua kuwa kama Wenger? Duh! Alisema Wenger ni specialist wa nini?
 
Kuna timu ambazo huwa hazisumbui kwa Chelsea n arsenal, manyumbu na liva mou akiwa n kocha
 
Ntuzu Manumbu kalon
Kwema hapa ndugu zangu?Mbona kimywa sana?

Najua sasa mnayaogopa mno majogoo hasa alipokuja anayejua kufundisha mpira

Nimeshinda udiwani Ikwiriri Mjini nipongezeni pls
 
Last edited by a moderator:
Daaah mkuu tusiibue tu hasira za watu hapa!Ikwiriri na Rufiji kwa ujumla ni deep CCM county!

Lkn mm ni mwana KOPS hapa na soka lituunganishe na uchaguzi umeisha mpwa

Hongera kwa kuwa unatambua ukweli
Majogoo mwaka huu bado labda msimu ujao
 
Leo nimejikuta nina mahaba na mou...
Kweli nafarijika sana mou akiwa kocha wa chelsea...msimfukuze bhana.. mna kocha jasiri sana...
Sasa kama chelsea player na fans mnaomba mfungwe ili mumfukuze mmefeli mimi leo naiombea chelsea ifunge...
Cc everlenk.. umoja ni nguvu tuiombee chelsea leo ipate point tatu
 
haya maneno yametoka moyoni kweli maana huwa sikuamini msaga sumu mwenzangu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom