Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahaha. Naona Ntuzu umeamua kuitetea timu. Japo bado haiondoi uhalisia kuwa timu ipo vibaya, either kwa uzembe wa wachezaji au kocha mwenyewe.

Arsenal kacheza game mbili za Uefa lkn hajapata point ata moja Wenger hafai na Arsenal ni mbovu sn.
 
Last edited by a moderator:
Arsenal kacheza game mbili za Uefa lkn hajapata point ata moja Wenger hafai na Arsenal ni mbovu sn.

Na wala sijamtetea Wenger kwa uzembe wake. Technically mzee ameishiwa, ubahili mwingi na kutoshaurika.

Lakini usikatae kuwa timu yako ipo vibaya, nimeiona Sasa mnaanza kuwaita wale wachezaji mliowa freeze, John Obi, Ramirez waokoe jahazi, Matic na Hazard wameshaanza kuchoka wakati ndio ligi inanoga.
 
Na wala sijamtetea Wenger kwa uzembe wake. Technically mzee ameishiwa, ubahili mwingi na kutoshaurika.

Lakini usikatae kuwa timu yako ipo vibaya, nimeiona Sasa mnaanza kuwaita wale wachezaji mliowa freeze, John Obi, Ramirez waokoe jahazi, Matic na Hazard wameshaanza kuchoka wakati ndio ligi inanoga.

Obi na Ramires km wangekua hawafai wangekua hawapo pale. Kocha anaruhusiwa kuchagua mchezaji yoyote kutoka ktk wachezaji wake wote sioni km ni shida hiyo
 
Unapouliza swali kua humuoni Falcao ktk bench la sub na Remy huku unajua kua Costa kafungiwa game 3 unategemea ujibiwe nini?

Niliuliza maswali 3 umejibu moja then ukauliza maswali 3
 
Ntuzu twakosea sana kutetea na kuona kila kitu kiko sawa na kujilinganisha na wengine... sisi ni Chelsea chelsea haipaswi shindwa ovyo afu tutetee eti na timu zingine zafungwa pia

Wewe endelea na mtazamo wako lkn usije kugeuka na kuanza kuisifia timu
 
Last edited by a moderator:
Yokohama
 

Attachments

  • 1443595036320.jpg
    1443595036320.jpg
    29.7 KB · Views: 93
  • Thanks
Reactions: Nzi
1.Oscar ametoka majeruhi i think bado hajawa fit na kwa sasa ndio mchezaji bora wenu so Jose hawezi risk na ukizingatia Costa amefungiwa


3 Kwa umri wake ni dhahiri hana kasi tena so kumpiga bench kwenye EPL ni sahihi lakini sio UEFA,kumbuka Jose alitaka kumsajili Stones Everton wakagoma kama wakimpata/or CB mwingine its obvious JT hatakubali kukaa benchi huenda akafanya kama Stevie G

1. I agree with you partly hadi uliposema '...ndio mchezaji bora wenu...' Nadhani sifa hiyo mpaka sasa tumpe Willian!

3. Terry hana speed lakini ni smart. Kazi yake kumwacha nyuma tu...yeye ndo abaki na kazi yake itakuwa rahisi sana kama kiwango cha Matic hakitashuka...this means mara chache sana atajikuta kwenye situation ya one-on-one na striker!
 
.......
Ata km aliwaweka bench Matic na Hazard km mbinu au kua na sub imara lkn wanapewa ujumbe kua hakuna mtu mwenye no ya kudumu Chelsea.

Akifukuzwa Mourinho unapendekeza kocha gani aje?
Dick Advocaat
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom