Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Dick Advocaat
Umekuja na wewe?
Dick Advocaat
Vipi umeona jana ze bluuzz walivyoonesha " unstable attitude" ?Bora udomo kaya kuliko Domo Zege
Vipi mechi ya jana?Umekuja na wewe?
Sauti yako haitoki? Au ndio gazabu hizo? Kipigo juu ya kipigo.... yatapita! jumamosi utafurahi.Umekuja na wewe?
Mourinho: "The last minute situation - it
was a clear penalty. But two mistakes
have cost us a game. A game I thought
was fantastic."
Yes the game was fantastic but what was the result Mr.mou?
Vipi umeona jana ze bluuzz walivyoonesha " unstable attitude" ?
Did Ze bluuzz pay the price?
Call that domozege!
Maumivu yakizidi, msikilize mpayukaji(ze bluuzz comedian) ili uondoe maumivu.
Umesahau Mou alisema nini baada ya Pedro kucheza na kufunga bao alipocheza mechi yake ya mwanzo baada ya kujiunga na Chelsea?One word: Pedro.
Nitarudi....
C. Palace, Everton, Tottenham, Bradford na Porto.Mkuu naomba kujua team unayo support
Mimi huwa sipati sana time ya kupita humu
Tuanzie hapo kwanza
Ukimuuliza Ntuzu atakwambia ushindi ni ushindi tu hata ikiwa kwa goli la nape!Siku hizi naona watu wanajisahau hata kufuatilia team zao kisa Akili,Macho na masikio yao wamevielekeza kuifuatilia Chelsea tu!!
.......
Hivi wale mliomlaumu Refa mechi ya Arsenal na Chelsea hamkuona kuwa Costa amenyimwa Clear penalty jana kwa mchezaji wa Porto kuunawa mpira kwa makusudi? Naona mmeamua kuwa Mabubu kwa hilo !!
It was no clear to Mwamuzi na wasaidizi wake.Yeah! Ni kweli kabisa that was clear 100% penalty
Yokohama
It was no clear to Mwamuzi na wasaidizi wake.
Msubiri atakapochezesha Mike Dean.
Yeah! Ni kweli kabisa that was clear 100% penalty
Tuunganishe kipaji chako na changu ili tumshinde Kopa. Unasemaje?:A S wink:We mtu unapenda sana taarabu,mwenzio Hadija kopa analipwa kwa mipasho,
Kipaji unacho lakini unakipoteza bure tu!!
Hutaki ijulikane kuwa ze bluuzz ni dhaifu?Si chako kwani kuna kosa gani? Timu yako kuna shida gani?
Kipigo sio mchezo, wanaweweseka tu. Msamehe tu. Macho yake yamepata dhoruba jana, hawezi kuona na kusoma kila kitu kinachoongeza maumivu yake.Kulikua na haja gani ya Ku qoute badala ya kujibu swali unajibu maelezo, swali langu ni " what was the result" au hujaliona hilo???
Kwa hiyo jana ndio ilikuwa perfect to the perfection?Perfection ni pamoja na kutambua kua kuna matokeo ya kufungwa pia.
Na kasi huongezeka kibarua kinapoanza kuota nyasi na magugu.jamaa anazeeka kwa kasi sana duuuh
Na kasi huongezeka kibarua kinapoanza kuota nyasi na magugu.