Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona Ntuzu kaamua kuwa mourinho wa jukwaa, au yule waziri wa ulinzi wa Iraq kipindi Saddam Hussein anatandikwa na wa.marekani

Kwahiyo kaka mkubwa Eli79 unataka nije hapa nifanye kulia lia na kuiponda Chelsea km vile waliavyo gunners? Mi sio shabaki mandazi aiseeeeee. Naiamini timu yangu ktk kila kitu.
 
Last edited by a moderator:
Mourinho: "The last minute situation - it
was a clear penalty. But two mistakes
have cost us a game. A game I thought
was fantastic."

Yes the game was fantastic but what was the result Mr.mou?
 
herrera, cute b, everlenk, Belo, RRONDO ....msitukane mamba na hamjavuka mto!

Hatutukani mamba mmekuwa wabovu sana ndani ya muda mfupi,Nina maswali hapa

1.Mourinho aliahidi kufufua makali ya FailCow,mbona hata bench hakuwepo while yuko fit?

2.Mourinho anafikiria nini kumpanga Ivanovic, na ndio weaklink kwenye defence yenu kila siku ?

3.Why JT anapigwa benchi hadi kwenye game za UEFA, au anataka kumkimbizia Marekani next season?
 
Last edited by a moderator:
Jumamosi anafukuzwa kabisa

Mourinho alipoondoka mwaka 2007 ni makocha wangapi walipita na kufukuzwa? Ilikuaje tena Abramovich akamuangukia Mourinho na kumwambia arudi tena? Mourinho hawezi kufukuzwa ata km timu ishuke daraja kwa uzembe wa baadhi ya wachezaji.
 
Nimekuelewa,
Mi naona sasa Morinho ili kujinusuru na kuinusuru timu atumie ubabe, apige chini hata kikosi cha kwanza chote achukue madogo maana hawa ambao twawategemea ndio wanatuangusha
 
Hatutukani mamba mmekuwa wabovu sana ndani ya muda mfupi,Nina maswali hapa

1.Mourinho aliahidi kufufua makali ya FailCow,mbona hata bench hakuwepo while yuko fit?

2.Mourinho anafikiria nini kumpanga Ivanovic, na ndio weaklink kwenye defence yenu kila siku ?

3.Why JT anapigwa benchi hadi kwenye game za UEFA, au anataka kumkimbizia Marekani next season?

Kwanini usiulize mbona na Remy hapangwi ata kwenye bench la sub hakuwepo?

Km wewe unaijua Chelsea vzr. Unaweza kuniambia unaona nini unapokua na Azpilicueta Zouma Cahill na Iva ndani huku ukiwaweka Terry na Baba benchi? Mambo mengine msipende kusema Mourinho alipanga kikosi kizuri mpk sub bado kulikuwa na uhai....
 
12074788_1597215450318665_3281199728218757713_n.jpg

I will miss her!!!

hahahahaa unajua yule dem dr eva aliweza sana kukitibu kijungu cha ivanovic na john tery na kuwafanyia massage y hatar ivanovic na john tery hadi wakawa noma uwanjan.. kwahyo kuondoka kwa dr kumeathil miguu ya ivanovic imekuwa mizito mnoo na john tery kawa kama nyuki wa mashineni..hahahaaa
 
Hatutukani mamba mmekuwa wabovu sana ndani ya muda mfupi,Nina maswali hapa

1.Mourinho aliahidi kufufua makali ya FailCow,mbona hata bench hakuwepo while yuko fit?

2.Mourinho anafikiria nini kumpanga Ivanovic, na ndio weaklink kwenye defence yenu kila siku ?

3.Why JT anapigwa benchi hadi kwenye game za UEFA, au anataka kumkimbizia Marekani next season?

1. Tactical decision ya kocha...hata Oscar yuko fit ila hata benchi hakuwepo. Nionavyo mimi kwa kuwa Costa ana local ban na Remy juzi haku-impress vyema...atamtumia Falcao jumamosi kwenye mechi na Southampton. Naamini ndivyo atakavyofanya kwa Oscar.

2. There is something he sees that we don't. Yeye ndo yupo nao mazoezi..day-in-day-out! Sisi tunaona kwenye mechi tu. Let's wait and see.

3. As for JT (labda jibu ndo hilo hilo la Ivanovic). JT hawezi kuondoka Chelsea labda kuje kutokea kitu kingine mbeleni, kwa sasa haondoki. Ingawa naungana mkono na wewe...ningependa arudi tena defence tuone!
 
Nimekuelewa,
Mi naona sasa Morinho ili kujinusuru na kuinusuru timu atumie ubabe, apige chini hata kikosi cha kwanza chote achukue madogo maana hawa ambao twawategemea ndio wanatuangusha

Kwani si tayari ameshasema na kuwashambulia wachezaji wake? Au mnataka aseme Mara ngapi? Jana Matic na Hazard wameanzia benchi huoni tu kua ameshaamua kuwapiga benchi? Terry unamuona anacheza pamoja na uingereza wake na unahodha wake?

Ata km aliwaweka bench Matic na Hazard km mbinu au kua na sub imara lkn wanapewa ujumbe kua hakuna mtu mwenye no ya kudumu Chelsea.

Akifukuzwa Mourinho unapendekeza kocha gani aje?
 
Kwanini usiulize mbona na Remy hapangwi ata kwenye bench la sub hakuwepo?

Km wewe unaijua Chelsea vzr. Unaweza kuniambia unaona nini unapokua na Azpilicueta Zouma Cahill na Iva ndani huku ukiwaweka Terry na Baba benchi? Mambo mengine msipende kusema Mourinho alipanga kikosi kizuri mpk sub bado kulikuwa na uhai....

Swali nimemuuliza Mentor nakujua siku zote huwa hujibu maswali, maswali 3 hujajibu hata moja naona nawe umeongeza maswali mengine mawili
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom