Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
1. Tactical decision ya kocha...hata Oscar yuko fit ila hata benchi hakuwepo. Nionavyo mimi kwa kuwa Costa ana local ban na Remy juzi haku-impress vyema...atamtumia Falcao jumamosi kwenye mechi na Southampton. Naamini ndivyo atakavyofanya kwa Oscar.
2. There is something he sees that we don't. Yeye ndo yupo nao mazoezi..day-in-day-out! Sisi tunaona kwenye mechi tu. Let's wait and see.
3. As for JT (labda jibu ndo hilo hilo la Ivanovic). JT hawezi kuondoka Chelsea labda kuje kutokea kitu kingine mbeleni, kwa sasa haondoki. Ingawa naungana mkono na wewe...ningependa arudi tena defence tuone!
Mi nashangaa sn wakaanga sumu wanauliza maswali ya ajabu wakati wanafahamu kua Costa kafungiwa game tatu. Wanataka Falcao na Remy wapangwe tu huku Costa yuko banned..... Wakaanga sumu bhana....
Muacheni Mourinho apange kikosi chake kwa uhai wa timu