Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

2CDC26F400000578-3252033-image-a-59_1443447771520.jpg

Meanwhile, kipa wetu, Thibaut Courtouis, yuko kwenye mapumziko ya lazima...huku akiendelea na recovery ('speedy recovery' they say)

2CDB827200000578-0-image-a-37_1443442194003.jpg

Katika watu sipendi wacheze leo..ni Pedro!!! Heri hata Falcao acheze...alikuwepo mara ya mwisho tunakutana na Porto kwenye Champions League ambapo tuliibuka kidedea kwa goli la Anelka (47')...mwaka 2009 kama sikosei!

2CDB828200000578-0-image-a-39_1443442226108.jpg

Tutahitaji pia experience ya huyu maana alicheza nao mechi za ligi wakati alipokuwa Benfica...
 
2CDB827200000578-0-image-a-37_1443442194003.jpg

Katika watu sipendi wacheze leo..ni Pedro!!! Heri hata Falcao acheze...alikuwepo mara ya mwisho tunakutana na Porto kwenye Champions League ambapo tuliibuka kidedea kwa goli la Anelka (47')...mwaka 2009 kama sikosei!

Kwanini hutaki Pedro acheze?? Nilikuwa nasubiri kwa hamu nione ambacho Mourinho kakiona au atakifanya na Falcao ambacho LVG ameshindwa,so far nehi!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Teh teh teh subirini muone Falcao atakavyo kua moto.... Nyie si mlishindwa kumtumia?!! Tulieni.....

Kuna mwenzio hapo juu kashaanza kusema hataki Pedro acheze wakati alikuwa wa kwanza kurusha vikatuni vya Man Utd kumkosa Pedro!
 
Kwanini hutaki Pedro acheze?? Nilikuwa nasubiri kwa hamu nione ambacho Mourinho kakiona au atakifanya na Falcao ambacho LVG ameshindwa,so far nehi!

@rrondo ...strictly for this match...akae benchi ajifunze ameniboa sana kwenye mechi za ligi..always misfiring. Ile fluency ya dribbles alizokuwa nazo alipokuwa Barca imepotea. I believe it's justa phase, and he'll b good again.

Kuhusu Falcao...that man is a beast...it's hidden somewhere...but he is a team player, kwa hilo namsifu sana!!!
 
Wapi?? Nafasi ya 15??!!!

Sisi ndio mabingwa wa epl na msimu huu tunakua mabingwa tena au tayari nyie mmeshakua mabingwa?

LvG ana points 6 za José Mourinho na keshokutwa Mnapigwa na Arsenal bado tu kwa hayo mahesabu mtakua nafasi ya kwanza tu?
 
Sawa Sheikh Yahya...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom