Asante my na wew hongera kwa sare
Last edited by a moderator:
Haya subiria uone Sunderland watavyowafanya...amini mnapigwa leo au drooo
Wapo tu wakuu.... Tuko vzr sn tu
Mnapoza maumivuuu😂😂😂😂
Ni nzuri Mkuu.... Niambie mkuu
salama kabisa naona leo hatihati kidogo
Popote alipo Mourinho nami nipo...... Wakaanga sumu mtajuta
Asante sn mamitoh! Duh hawa watoto Walitaka kuniabisha. Kah
Aombe radhi tu kwa kumdhalilisha Dada Eva.Baba yangu Mourinho ana wanasheria na mpunga wa kumwaga..... Komaeni na uchunguzi alafu mlete majibu mnataka nini? Kulipwa au?