Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Mtafanya assessment kuanzia wachezaji, kocha, benchi la ufundi, madaktari, wapishi ball boys hadi mashabiki kwamba hawana amsha amsha ila ukweli haujifichi timu yenu ni mboovu, washukuruni arsenal kwa kuwapa point tatu lasivo hali ingekua tete zaidi, BTW hongereni mmejitahidi mpo point moja juu ya Bournemouth.
Tunakutana lini na wewe? Tusiongee sn.....