LOL....hahaaa
Domokaya bana!
Huyu mpayukaji kweli ni gangster style. Anatafuta kuharibu mpira England. Kila timu ina "Philosophy" yake. Mou anaamini mpira ni mieleka na kushinda vikombe tu.
Huyo anayemsema ni kocha anaelewa mpira na aligeuza na kuupeleka mchezo wa mpira wa England kutoka boring to.......
Link
18 ways Arsene Wenger has revolutionised English football as he celebrates 18th Arsenal anniversary | Football Features | ESPN.co.uk
Link
10 ways Arsene Wenger has changed English football forever - James McNicholas - Mirror Online
Link
Ten ways in which Wenger has changed English football | Sport | The Guardian
Link
Arsene Wenger revolutionised Premier League, says Jamie Carragher | Football News | Sky Sports
Link
Arsene Wenger is the modern day Herbert Chapman... he changed everything at Arsenal and he's not finished yet | Daily Mail Online
Link
Arsene Wenger reveals the secret behind his success at Arsenal | GiveMeSport
Link
Arsenal blog: How Arsene Wenger changed the Gunners and English football - Arsenal - London 24
Kama haya yaliyoandikwa ameyafanya na kuwa na faida kwa England, kocha huyo ni lazima awe na uhakika wa ajira yake hadi atakapoamua kung'atuka. Ni wazi kuwa wanaopenda kandanda hawaangalii idadi ya vikombe tu, ubabe uwanjani, vijembe na kujipaisha. Mou anaharibu mpira wa miguu kwa kutaka masifa na kupenda udaku.
Angalia timu kubwa kama AC Milan, Barca, Beyern Munchen, Man United, Real Madrid, Borussia Dortmund, Juventus, Liverpool au timu zote kubwa zilizofundishwa na makocha asiyekuwa Mou ni lazima ulipenda au unapenda jinsi wanatandaza mpira.
Mou anaboa na michezo yake ya mieleka na kisaikolojia. Anataka kutengeneza umbea, badala ya kujikita katika kufundisha kabumbu mwanana.
Huyu Domokaya ataondoka Chelsea kwa aibu muda si mrefu, anaiharibia jina Chelsea brand.
Kwa Domokaya ni afadhali ajikite kwenye kukuza vipaji vya wachezaji wake na aheshimu makocha wengine.
Kwa mafanikio aliyoyapa Mou ni wakati sasa "kuwa mtu mzima, awe na busara". Hii kutaka mieleka hata nje ya uwanja ni uhuni na utovu wa nidhamu.
Angalia Sir Alex na Wenger walikuwa "mahasimu" wenye kuheshimiana. That is football.
Ntuzu, Mentor natumai hamtakwazika. Root ameona "upuuzi" huu wa Mourinho. Sisi tunaopenda kabumbu bila kujali timu, anatuboa.