Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hata dhidi yetu (Arsenal) hamkustaili kushinda, kwa hii fomu ya sasa mnashuka daraja, khe kheee khweeee!
 
Afu siku hizi sikuoniiiiii au uko kwenye kampeni ya Magufuli

Hapana mkuu huonagi ma like yangu kulee? Kule napita sana sema nina kama wiki tatu sijafanya biashara. Na tangu msimu mpya wa biashara uanze ninapata hasara tuu
 
Hii mechi mnaweza kushinda. Newcastle United hawachezi kama Everton, hawamiliki mpira katikati wala mbele. Wamepata nafasi 2 na wakazitumia vizuri. Bado kuna muda mrefu umebaki. Pedro lol.... Nevertheless Come on Newcastle United!!!!
 
Hapana mkuu huonagi ma like yangu kulee? Kule napita sana sema nina kama wiki tatu sijafanya biashara. Na tangu msimu mpya wa biashara uanze ninapata hasara tuu

Haya bana nimekumiss sana
Ila leo usije cheka sana baada ya game kuisha maana inatuwia ngumu yaani leo unashinda kesho kipigo daaah
 
Dah Nikalale Mapema Tu Leo,hata Kuipigania Chama Changu Ccm Siwezi,bongo Nimechapwa Mbele Napo Nachapwa Dah...Jaman Naombeni Tena Matokeo
 
Mna bahati sana ndugu zangu.

Shukuruni kwa hiyo point moja mliyoipata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom