Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,545
- 35,404
Mambo yalikua mazuri tu hawa watoto bahati yao leo
hahahaha sisi tunashika usukani wa ligi. hivi nyie mpo nafasi ya ngapi vile baada ya mechi ya leo?
Mambo yalikua mazuri tu hawa watoto bahati yao leo
Ubingwa ni wenu, msiwe na wasiwasi. Muendelee kucheza kama hivi mlivyocheza na Newcastle leo.The count down is going on.
Chelsea has lost 3 games and 1 draw.
Arsenal has lost 2 games and 1 draw.
Man City has just lost 2 games!
Man Utd?
Chelsea bado ana nafasi kubwa ya kua bingwa.
Wakaanga sumu hamna la kusema.
hahahaha sisi tunashika usukani wa ligi. hivi nyie mpo nafasi ya ngapi vile baada ya mechi ya leo?
Ahaaa mi nilifikiri nyie mabingwa kumbe mwaongoza ligi tu? Hahahaaa
Utamfuata Ze domokaya na ze bluuz huko aliko. Na aliko mpaka mida hii hukutaki. Yuko karibu na watoto hukooo 15-16.
Leo Mou atafute sababu ya kutomzika New Castle maiti. Chelsea bana ina bahati kweli, imepapatua point.
Mabingwa wa EPL wanaendelea kwa style ya mieleka kutetea ubingwa wao. Ubingwa ni wa ze bluuzzii tu au vipi dugu Ntuzu?
Aombe radhi tu kwa kumdhalilisha Dada Eva.
Vipi Newcastle amekufa nusu ? Au Ze bluuzzziii amepona( amefufuka) nusu?Leo Newcastle lazima afe mzima mzima.....
Wanakwenda kwa mfa maji, lazima wawe na hofu na wasiwasi usioweza kupimika.Hali ya hewa humu ndani sio nzuri leo. Watu wa darajani wana wasiwasi sana..
Bado mapema kusema Mou atafukuzwa. Mou atajifukuza menyewe ,hatofukuzwa. Ataondoka kwa aibu siku itakapofika.Mkuu mie sijawahi log out nina muda sana toka nimelog out....
Kiukweli Chelsea yaumiza sana
Sasa najua kitachotokea maana Porto watatufunga na Southampton watatupiga na Morinho atafukuzwa. Yule Klopp anaweza kuja kwetu....
Ndio sababu Enzo anakuita shabiki maandazi....au hujielewi elewi.....vumilia mambo yanaposuasua.Aiseee mie nimeacha angalia mechi leo mwisho, nitakuwa nafatilia tu kupitia goal.com
Sikuona, sijaona!Teh teh teh teh Nonda umeona hao watoto walivyopata tabu?
Maoni ya "mkaanga sumu"- Great point for Chelsea - how important could that be at the end of the season. Could just save them from relegation. Alan, DevonAhaaa mi nilifikiri nyie mabingwa kumbe mwaongoza ligi tu? Hahahaaa
Domokaya na hekaya zake.Mambo yalikua mazuri tu hawa watoto bahati yao leo
Laana ya eva carneiro bhado inawaandama chelsea
- It's time Mou aanze kumtumia Baba Rahman. Iva naye amechoka he needs some rest. Umri nao umemtupa!!!
- Fabregas naye apumzike kidogo. Huku kujihakikishia kuanza kunamfanya a-relax sana. Have Ramires deputise for a while...or even Kennedy.
- and while on that..hata Matic apumzike for dogo Ruben Loftus Cheek.
- Cant wait for Courtouis to come back!
- Hazard Oscar Willian. That's the best attacking trio for me
- Sioni na sijashawishika kwa nini Pedro anaanza kabla ya Willian.
- Oooh Remy.
- I miss Costa...this is why namtetea kwa lolote alifanyalo. As long hajamuumiza mtu..am on his side!!!!
- Falcao...unamiss hadi goli la offside!!!!
Pitia hii link Eva Carneiro evidence submitted to FA over Mourinho comments - ESPN FCAombe radhi kwa lipi?
Laana ya eva carneiro bhado inawaandama chelsea
Atulaani kwani amekua Mama yetu?
Atulaani kwani amekua Mama yetu?