Eden Hazard: Has created more chances from open play (22) than any other player in Europes top 5 leagues this season #cfc
Huko Mjini City kalala 3 hadi sasa
The count down is going on.
Chelsea has lost 3 games and 1 draw.
Arsenal has lost 2 games and 1 draw.
Man City has just lost 2 games!
Man Utd?
Chelsea bado ana nafasi kubwa ya kua bingwa.
Wakaanga sumu hamna la kusema.
Yeah City alikuwa katuzidi point 11 ila sasa zimeanza pungua taratiiibu...
Watashuka tu chini
MaN U kapoteza tayari
Yeah City alikuwa katuzidi point 11 ila sasa zimeanza pungua taratiiibu...
Watashuka tu chini
MaN U kapoteza tayari
[/Color]
Ushindwe na ulegeee hapo hapo usiinuke tena. .......Kwa Man U mtasubiri saaaaaaaanaaaaaaaaaa......#GGMU
Haya subiria uone Sunderland watavyowafanya...amini mnapigwa leo au drooo
Haitotokea