Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Usisikitike my dear everlenk

Mimi naamini hivyo kwasababu falisafa ya mpira na mbinu zake na falisafa ya Chelsea na Mou naifahamu vzr. Kwahiyo nitaendelea kusimamia kile ninacho amini

Am out🙌🙌🙌🙌🙌
 
Last edited by a moderator:
Ndio DD nguli alifanya vzr sn lkn ata huyu Costa atafanya vzr tu tena Zaidi ya hapo. Muacheni jamani Costa afurahie kipaji chake

Mkuuu
Nyota njema huonekana asubuhi...
Costa aliwika sana msimu wa kwanza ila baada ya mechi 20 za kwanza hajawahi funga gol nyingi sana.
Na pia kwa msimu huu hafikishi 20 kwenye mashindano yote...
Costa atarudi Atletico msimu ujao, amini hilo... na pia Chelsea ianze tengeneza strikers kununua striker wengi kasoro Drogba tu ndo alifanya vizuri....
Remy ni mzuri sema hapewi nafasi...
Hivi sasa twataka timu ambayo itakuwa na reputation nzuri...
Timu yetu inashambuliwa kwa ubaguzi, kocha kuongea maneno machafu, wachezaji kujidondosha kama ile ya PSG, twacheza kwa kulinda goli....
 
Bado unatumia maji ya Kilimanjaro tu embu badilisha basi kinywaji chukua kinywaji chochote nakuja kulipa.... Ntuzu ngosha wane kweli unamfananisha Drogba na umafia na hasira za Costa? Come on man are you serious? ???

Nke one everlenk nimejaribu kutumia mfano wa king DD ili mtu aweze kutambua shughuli ya mastrikers mbele ya defenders vichaa km Vidic Brown na Martin Skirtel.....
 
Last edited by a moderator:
kuteleza si kuanguka. man united itafanya vizuri mechi zijazo za uefa wait and see

kumbe hilo unalijua!' sasa kelele za nini humu?! mbona hukusema wakisema Uefa inaisha leo .............
 
Mkuuu
Nyota njema huonekana asubuhi...
Costa aliwika sana msimu wa kwanza ila baada ya mechi 20 za kwanza hajawahi funga gol nyingi sana.
Na pia kwa msimu huu hafikishi 20 kwenye mashindano yote...
Costa atarudi Atletico msimu ujao, amini hilo... na pia Chelsea ianze tengeneza strikers kununua striker wengi kasoro Drogba tu ndo alifanya vizuri....
Remy ni mzuri sema hapewi nafasi...
Hivi sasa twataka timu ambayo itakuwa na reputation nzuri...
Timu yetu inashambuliwa kwa ubaguzi, kocha kuongea maneno machafu, wachezaji kujidondosha kama ile ya PSG, twacheza kwa kulinda goli....

hivi wewe timu gani? Mbona kama hujielewi elewi ........
 
haters mtachonga saana kuhusu kufungiwa kosta lakini mkae mkijua kwamba ule ushindi wa 2-0 (na pointi 3) hauwezi. elewa ushindi ni ushindi tu hata kama wa goli la mkono. katika mpira kuna mbinu nyingi za kumdhaifisha mpinzani wako ili kumshindi. mwisho wa siku kinacho matter hapa ni ushindi tu. kufungiwa kwa kosta is not such a big deal. tuna kikosi madhubuti kinachoweza kushinda bila kuwepo mchezaji nguli yeyote yule. mmeelewa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom